Anajengea kwenye makalio yako .watu wanaongea vitu sensitive ww unaketa porojoWewe mpumbavu hujui misingi ya uchumi. Nenda uani kajisetiri halafu ukalale.
Uchumi kavuruga Magufuli, ila Rais Samia ndiyo anaujenga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anajengea kwenye makalio yako .watu wanaongea vitu sensitive ww unaketa porojoWewe mpumbavu hujui misingi ya uchumi. Nenda uani kajisetiri halafu ukalale.
Uchumi kavuruga Magufuli, ila Rais Samia ndiyo anaujenga.
Huyu jamaa ana kitu cha msingi naomba asipuuzweMara 1000 bora magufuli
Kwani lazima wawe na weakness sawa?Naona unajichanganya .Kama hana basic skill , na competency anawezaje kumzid jpm
Hii ilikuwa common enzi ya mkapaAbinafsishe na BOT kwa kuwa kichwa cha yule bibi kila akiona changamoto yeye immediately solution kwake huwa ni ubinafsishaji
21. Kumuua MembeMagufuli aliharibu uchumi ifuatavyo:-
1. Mabenki ya Biashara kufungwa
2. Wasiojuoikana
3. kudhulumu watu haki ya kuchagua (serikali za mitaa+kuu)
4. Kubambikiza watu kesi
za uhujumu uchumi
5. Uonevu wa Bashite
6. Sakata la bisdhsra ya korosho
7. kuvunjia watu nyumba, kimara mbezi
8. Bias na kutokuwa considerate sakata la vyeti feki
9. Kauli mbaya na kutweza utu wa watu in public
10. Kutoheshimu katiba
11. Mishandle ya Covid - hasa second wave
12. Rushwa kwenye siasa (ili watu waunge mkono juhudi)
13. Kuligeuza bunge na mahakama kuwa kama nguo yake
14. Propaganda kali, uwongo na brainwashing
15. Kuharibu private sector
16. Kukataa kuendeleza mchakato wa katiba wakati iikuwemo kwenye ilani ya CCM 2015
17. Kuua private sector
18. White elephant projects za Chato tena wakati mwingine kukiwa hakuna fully participation ya bunge
19. Kutoongeza nyongeza na kutoa stahiki za wafanyakazi zilizoko kwa mujibu wa sheria
20. TRA kubambika watu kodi
Unajua IMF na WB mission zao kwa Africa wewe tako??Tuondolee uongo wako hapa. Benki ya Dunia pamoja na shirika la Fedha la kimataifa wote kwa pamoja wameipongeza Tanzania kwa kufanya vizuri katika uchumi,Wameonyesha hayo kwa Takwimu za ukuaji wetu wa uchumi pamoja na kuutabiria makubwa uchumi wetu. Sasa wewe Ni Nani Hadi upingi ripoti za kiutafiti kutoka Taasisi zinazoheshimika Duniani kwote? Kwanini usiweke nawewe ushahidi wako wa kitafiti kuliko kukurupuka na kuropoka Kama ulivyo fanya hapa?
Suala la Deni la Taofa. Katika hili pia Kama nchi na Taifa tupo katika Hali nzuri,kwa kuwa Deni letu Ni himilivu na bado tunao uwezo wa kukopa na kulipa bila shida. Lakini pia kukopa siyo shida maana Cha muhimu unapokopa uangalie na kuzingatia malengo ya mkopo,mahali unapowekeza,faida za mradi unapowekeza mkopo wako,masharti ya mkopo,riba ya mkopo husika, muda wa kufanya marejesho ya mkopo.
Serikali yetu ya mh Rais wetu mpendwa kipenzi Cha watanzania mama Samia suluhu Hassani imekuwa ikichukua na kupokea mikopo yenye masharti nafuu na ya muda mrefu na kuwekeza katika miradi yenye tija kwa Taifa letu.
Suala la mfumuko wa Bei .Hapa naona pia umejiandikia tu bila utafiti Bali kwa kuongozwa na mihemuko ,chuki binafsi na njaa yako kichwani, kwa kuwa kwa Sasa hatuna mfumuko wa Bei katika nchi yetu na pale ulipojitokeza serikali yetu ilikabiliana nao vyema,mfano wakati pembejeo za kilimo hasa mbolea zilipopanda Bei serikali ya Rais Samia ilitoa Ruzuku ya billion Mia moja hamsini katika mbolea na hivyo kupelekea kushuka kwa Bei ya mbolea sokoni, mfano mbolea ya DAP msimu uliopita ilikuwa inauzwa shillingi laki moja na 40 lakini msimu huu inapatikana kwa Elfu 70 tu. Lakini pia serikali ya Rais Samia ilikuwa inatoa Ruzuku ya billion Mia moja kila mwezi katika mafuta na hivyo kupelekea kushuka kwa Bei ya mafuta maeneo mbalimbali nchini na hivyo kuleta ahueni katika maisha ya watanzania,hasa kwa kuzingatia kuwa mafuta Ni injini ya uchumi wetu.
Watanzania wan Imani na mh Rais wetu mama Samia na serikali yake na ndio maana wamekuwa na wanaendelea kuiunga mkono kwa nguvu zao zote.
Mosi, una uelewa finyu wa mambo ya kiuchumi, na pili, ama hujui kilichokuwa kinaendelea wakati wa JPM au unajizimisha data tu!mikopo mikbwa mikubwa huku nchi ikiwa Hoi bin taabani . Mfumuko wa bei uliopo Nchini Siyo wa kitoto, wakati huo huo purchasing power ya hela yetu ikiwa Chini Sana,. Pia serikali ikizalisha mikodi ya kila Aina kukandamiza mwananchi wa kawaida...
Hapa kuna elements za UDINI manake kuna Majuha wanaoaminisha Majuha wenzao kwamba:-Samia siyo Raisi wa Kwanza kuvuruga uchumi wa nchi yetu, wapo watangulizi wake waliowahi kufanya hivyo, Sina haja ya kuwataja Maana wanajulikana. Ila Kwa Bahati Nzuri maraisi waliokuwa wanafutia walikuwa wazalendo kiasi ambacho walirudisha uchumi Kwenye mstari.... .
Majuha wenyewe ndo kama huyu!!Aliharibu Mwinyi, Mkapa akapata kazi nzito kurudisha nchi kwenye mstari.
Akaja Msoga, ufisadi ukatamalaki. Magufuli akainyoosha kwa kasi.
Kaja mama, afanye yake. Alafu akimaliza aingie Mgalatia kusawazisha.
Ukweli ni kuwa, Wagalatia ndiyo hufanya kazi nzito mno. Na pengine vifo vyao huwahi kwa sababu ya mizigo mizito wanayojitwisha kwa maslahi ya nchi.
Ni wakati sasa mumjibu FaizaFoxy swali lake kwamba "Hivi huko shule mnaenda kusomea ujinga"?Wasiwasi wangu je tutakuja kupata mtu mzalendo ambae atakuja kuweka uchumi wetu imara, Tuombe iwe hivo kama hatapatikana basi Taifa la Tanzania linaenda kuangamia kama mrithi wa Samia atakuwa na akili hizihizi Tunazoshuhudia Sasa.....
Huyu mama namuona wa hovyo kama Kikwete na Mwinyi. Ni rais ambaye ni ajali na zari kwa taifa. Tungefanya kila liwezekanalo asigombee uchaguzi ujao. She is weak and unpatriotic na mama misifa anayependa kusifiwa akijiita daktari wakati hata hiyo maste's anayosema anayo ilikuwa ni kukusanya hotuba za watu tena wakiwa kundi. Bonyeza hii link au wekaKatika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa letu...
Ni masikitiko makubwa Kwamba Sasa watu wanchota mihela Kwa kadri wawezavyo nakukopa mikopo mikbwa mikubwa huku nchi ikiwa Hoi bin taabani . Mfumuko wa bei uliopo Nchini Siyo wa kitoto, wakati huo huo purchasing power ya hela yetu ikiwa Chini Sana,. Pia serikali ikizalisha mikodi ya kila Aina kukandamiza mwananchi wa kawaida...
Samia siyo Raisi wa Kwanza kuvuruga uchumi wa nchi yetu, wapo watangulizi wake waliowahi kufanya hivyo, Sina haja ya kuwataja Maana wanajulikana. Ila Kwa Bahati Nzuri maraisi waliokuwa wanafutia walikuwa wazalendo kiasi ambacho walirudisha uchumi Kwenye mstari.... .
Wasiwasi wangu je tutakuja kupata mtu mzalendo ambae atakuja kuweka uchumi wetu imara, Tuombe iwe hivo kama hatapatikana basi Taifa la Tanzania linaenda kuangamia kama mrithi wa Samia atakuwa na akili hizihizi Tunazoshuhudia Sasa.....
Tukae tukijua seriakli yoyote dhaifu huambatana na mambo yote ya hovyo hovyo, Kama migomo, Rushwa, matajiri kuiendesha serikali, manyanyaso kwa raia, hudumaa za jamii kuwa mbovu etc. etc..
My Advice
"When you're choosing a Top leader of the government, choose wisely." By me.
Umeliweka vizuri sana mkuuMosi, una uelewa finyu wa mambo ya kiuchumi, na pili, ama hujui kilichokuwa kinaendelea wakati wa JPM au unajizimisha data tu!
Nikianza na uelewa finyu ni kwamba, mikopo mingi kama sio yote ambayo SSH anachukua ni kutoka World Bank, IMF, na Paris Club!
Hizo taasisi huwa zinatowa CONCESSIONALLY LOANS... meaning, ama inakuwa INTEREST FREE LOANS or a very small interest.
In contrary, kuonesha kwamba hujui nini kilikuwa kinaendelea wakati wa JPM, pitia hapa chini:-
View attachment 2644057
JPM huyo kachukua Mkopo Credit Suisse... hiyo ni COMMERCIAL LOAN, na sidhani kama nahitaji kupoteza muda kufafanua hatari za commercial loans kwa nchi... hiyo ni 2018; but AGAIN...
View attachment 2644059
In 2020 akachukua tena almost USD 1.5 BILLION na kwa mara nyingine ni COMMERCIAL LOAN!
Nikuwekee mikopo mingine ya kibiashara ambayo Magu alichukua halafu mnadanganyana eti alikuwa anatumia pesa za ndani?
Fanya utafiti wako mwenyewe uone ni kwanini SGR alipewa Mturuki na uone jinsi ambavyo gharama ya ujenzi ilivyokuwa imeongezwa maradufu... huo ndo utamu wa Commercial Loans kwa development Projects let alone corruptions ambayo hutawala huko!!
Hapa kuna elements za UDINI manake kuna Majuha wanaoaminisha Majuha wenzao kwamba:-
Majuha wenyewe ndo kama huyu!!
Nyerere aliacha nchi ikiwa HAINA HATA BIDHAA MUHIMU MADUKANI! Hata sabuni za kuogea zilikuwa zinatoka Kenya! Sukari ilikuwa inapatikana kwa mgao tena kwa kupanga foleni!
! Huko vijijini watu walikuwa wanafua kwa kutumia majani ya mpapaya!
Pamoja na yote hayo anatokea Mwehu anasema Mwinyi aliua uchumi!! Uchumi upi aliua Mwinyi wakati alikuta nchi almost defaul!
Anyway, pamoja na nchi kuiacha hoi lakini angalau Nyerere alijenga viwanda!! Nani alikuja kuuza mashirika ya umma tena kwa bei ya kutupa kama sio Ben Mkapa?! Au ndo kujenga uchumi huko?
Nani alikuja kuuza nyumba za serikali na matokeo yake kuifanya serikali iingie gharama ya kujenga nyumba zingine kama sio Mkapa?! Au Mkapa ni Mwislam?
Nani aliuza NBC hadi Nyerere akatoa mapovu? Nani alibinafsisha NMB na kudanganya hadharani eti benki ilikuwa inaiingizia serikali hasara hadi CEO wa NMB akatoka hadharani na kusema huo ni UONGO na kisha akarudi zake Marekani?
Huo ndo ujengaji wa uchumi wa hao uliowaita Wagalatia?!
Nani alitoa mkataba wa miaka 10 kwa TICTS lakini kabla haujaisha TICTS wakaongezewa miaka mingine 15? Nani alitoa Mkataba kwa IPTL lakini kabla haujaisha wakaongezewa mkataba mwingine?
Hayo yalifanywa na Rais Mwislam?
CHUKI ZENU ZA UDINI ndo zinawatia upofu!!
Turudi kwa JPM...
Ni nani mwenye akili timamu asiyefahamu jinsi ambavyo JPM alii-shake sekta binafsi?! Unajenga vipi uchumi huku ukii-shake sekta binafsi?
Wakati mkidanganyana eti JPM alikuwa anatumia pesa za ndani, ushahidi hapo juu unaonesha alikuwa anachukua MIKOPO YA KIBIASHARA tena kutoka kwa wale wale aliokuwa anawaita Mabeberu!
Hivi ni nani alinunua ndege ambazo hadi kesho wala hazina mwelekeo!
Unajenga vipi uchumi wakati hata kuajiri HUTAKI?!
Unajenga vipi uchumi wakati miradi ambayo ilitakiwa kufanywa na private sector inaenda kufanywa na JKT?
Ni wakati sasa mumjibu FaizaFoxy swali lake kwamba "Hivi huko shule mnaenda kusomea ujinga"?
SI Hilo TU mrithi atateseka kudeal na majizi.Katika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa letu...
Ni masikitiko makubwa Kwamba Sasa watu wanchota mihela Kwa kadri wawezavyo nakukopa mikopo mikbwa mikubwa huku nchi ikiwa Hoi bin taabani . Mfumuko wa bei uliopo Nchini Siyo wa kitoto, wakati huo huo purchasing power ya hela yetu ikiwa Chini Sana,. Pia serikali ikizalisha mikodi ya kila Aina kukandamiza mwananchi wa kawaida...
Samia siyo Raisi wa Kwanza kuvuruga uchumi wa nchi yetu, wapo watangulizi wake waliowahi kufanya hivyo, Sina haja ya kuwataja Maana wanajulikana. Ila Kwa Bahati Nzuri maraisi waliokuwa wanafutia walikuwa wazalendo kiasi ambacho walirudisha uchumi Kwenye mstari.... .
Wasiwasi wangu je tutakuja kupata mtu mzalendo ambae atakuja kuweka uchumi wetu imara, Tuombe iwe hivo kama hatapatikana basi Taifa la Tanzania linaenda kuangamia kama mrithi wa Samia atakuwa na akili hizihizi Tunazoshuhudia Sasa.....
Tukae tukijua seriakli yoyote dhaifu huambatana na mambo yote ya hovyo hovyo, Kama migomo, Rushwa, matajiri kuiendesha serikali, manyanyaso kwa raia, hudumaa za jamii kuwa mbovu etc. etc..
My Advice
"When you're choosing a Top leader of the government, choose wisely." By me.
Lini maisha yalikuwa mepesi?Anajenga nini huyo muimba taarabu.Maisha magumu kama tupo Somalia!
NO 19😭😭😭😭😭😭Magufuli aliharibu uchumi ifuatavyo:-
1. Mabenki ya Biashara kufungwa
2. Wasiojuoikana
3. kudhulumu watu haki ya kuchagua (serikali za mitaa+kuu)
4. Kubambikiza watu kesi
za uhujumu uchumi
5. Uonevu wa Bashite
6. Sakata la bisdhsra ya korosho
7. kuvunjia watu nyumba, kimara mbezi
8. Bias na kutokuwa considerate sakata la vyeti feki
9. Kauli mbaya na kutweza utu wa watu in public
10. Kutoheshimu katiba
11. Mishandle ya Covid - hasa second wave
12. Rushwa kwenye siasa (ili watu waunge mkono juhudi)
13. Kuligeuza bunge na mahakama kuwa kama nguo yake
14. Propaganda kali, uwongo na brainwashing
15. Kuharibu private sector
16. Kukataa kuendeleza mchakato wa katiba wakati iikuwemo kwenye ilani ya CCM 2015
17. Kuua private sector
18. White elephant projects za Chato tena wakati mwingine kukiwa hakuna fully participation ya bunge
19. Kutoongeza nyongeza na kutoa stahiki za wafanyakazi zilizoko kwa mujibu wa sheria
20. TRA kubambika watu kodi
Majizi yatakuwa yamekubuhu ,maana yatakuwa yanaona wizi ni haki yao na watakuja kulalamika rais aliyopo anaua uchumi .kama walivyofanya kipindi cha jpmSI Hilo TU mrithi atateseka kudeal na majizi.
Haya ni maoni yako na unaruhusiwa kuwa nayo. Ukiuliza wafanyabiashara halisi watakwambia namna SSH anavyoufufua uchumi uliokufa kipindi cha awamu ya tano.Katika Jambo linalotishia uhai wa taifa Letu ni kuelemwa na madeni huku pesa yetu ikikosa thamani kabisa, Hakuna juhudi zozote Za makusudi zinazofanywa na seriakli ya Samia kuokoa uchumi wa Taifa letu...