macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,500
- 61,451
Mh.... Sidhani. Nchi zilizoendelea mwanamme wa kiafrika kupata dada wa kizungu siyo rahisi kiasi hiki unachosema. Nimekaa sana majuu. Ila kuna hili: kama mwanamme wa kiafrika ni very handsome inawezeka... labda. Na hutapa wale grade ya juu na hutampata kirahisi kama huyu mrusi alivyokuwa anawapelekesha dada zetu. Na kingine: Kama wewe ni ''scavenger'' yaani unaokoteza ''mizoga'' kama fisi... kama unawinda wale ''wabaya, shapeless'' waliokosa weupe wenzao ambao umri umeenda..Sijui kuhusu nchi za ya Urusi lakini States pia watasha ndio rahisi kuliko waafrika. Unaweza ukawala hata kumi kwa siku bila hata hela wala kuwa na mali.
Ishu siyo kutongozwa hao wadada, ishu ni kuwarekodi na kurusha kwenye mitandao.Sasa nyie Wazee wanawake kutongozwa mnaona ishu daah...
Nafikiri kafanya kurusha mitandaoni ili kutuonyeshea au kuoyeshea Dunia ni Kwa jinsi Gani rangi nyeusi tabia zetu na umaskini wetu unavyotutesa na kutuvua utuIshu siyo kutongozwa hao wadada, ishu ni kuwarekodi na kurusha kwenye mitandao.
Wewe umewaona mademu aliokuwa anawachukua huyo Mrusi?Mh.... Sidhani. Nchi zilizoendelea mwanamme wa kiafrika kupata dada wa kizungu siyo rahisi kiasi hiki unachosema. Nimekaa sana majuu. Ila kuna hili: kama mwanamme wa kiafrika ni very handsome inawezeka... labda. Na hutapa wale grade ya juu na hutampata kirahisi kama huyu mrusi alivyokuwa anawapelekesha dada zetu. Na kingine: Kama wewe ni ''scavenger'' yaani unaokoteza ''mizoga'' kama fisi... kama unawinda wale ''wabaya, shapeless'' waliokosa weupe wenzao ambao umri umeenda..
Na huyo Mwanaume anajijua yeye ni handsome Hadi anamfuata huyo Binti wa kizungu au Binti ndo anamfuata huyo Black Kwa kigezo Cha muonekano wa huyo jamaa?kama mwanamme wa kiafrika ni very handsome inawezeka...
Naomba pia unifafanulie kuhusiana na kundi hili Mkuuunawinda wale ''wabaya, shapeless''
Naomba uweke hiyo video hapa Kwa faida ya wale ambayo hatupo Facebook Wala TikTokWewe umewaona mademu aliokuwa anawachukua huyo Mrusi?
Unadhani angeweza kufanya hivyo kwa top notch? Hiyo aliyofanya nakwambia States unafanya easy tu. labda uwe na wewe umepigika, kwa sababu huyo Mrusi ni handsome na amedowngrade a little bit. Inakuwa rahisi kubandua, hiyo ipo sehemu yeyote ile.
Mzungu yupo sahihi . Hizo ndiyo fursa pekee zinazo wastahiki wanawake siyo kuwapa uongozi na ikulu ... kazi za wanawake ni hiziNi aibu kubwa kwa wanawake wa Kenya waliorekodiwa kwa siri na mzungu raia wa Urusi kwa siri na kumkubali mara moja na kukutana nao gesti na kuwapelekea moto.
Video hizo ambazo zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii imeleta gumzo.
Cha kushangaza wanawake hao wanatongozwa chini ya dakika moja wanakubali kutoa namba zao na baadaye wanaonekana kwenye gesti na jamaa.
Wanaume wa Kenya wamekasirika na kudai wao inawachukua muda na pesa kumpata mwanamke. Lakini mzungu huyo inamchukua dakika tu na kugonga bure kwasababu ya rangi yake.
Baadhi ya wanawake walionekana kwenye hizo Video ni wafanyakazi supermarket wengine wamekutana barabarani.
Wengine ni wake za watu.
Pia mzungu huyo kafanya hivyo Africa kusini na Ghana na kuposti kwenye mitandao ya kijamii.
Ila huyu jamaa kafanya kosa kuanika hizo Video. Sheria ya faragha kaivunja hajawatendea haki hao wanawake.
Dah Kumbe amewala kabisa Aisee? Mi nafikiri aliwatongoza tuMbona sijaona video walidinyana, video zilizopo ni za kukutana kutongozana na muda wa kuondoka Guest house
Naomba uweke hiyo video hapa Kwa faida ya wale ambayo hatupo Facebook Wala TikTok
Mkuu nitaandika kiujumla kwa uzoefu wangu. 1. Majuu (at least kwa sehemu nilizoishi) kwa wanaume wengi tunaotoka Afrika, kupata wale wadada wa kizungu wazuri ni ngumu (wako wanaopata lakini asilimia ni ndogo). Waafrika wengi wengi huishia ku-date na wale wanawake ambao hawana soko kwa weupe wenzao. (wanene, minyama na shape zimepandiana). 2. Weekends usiku clubs zinajaza wateja wengi na wanawake wengi pia huenda. Watu wakishalewa hukuta wanaanza kutongozana. Mara nyingi clubs wanazojaa weusi unakuta ndiko hao wanawake ma-reject wanapenda kwenda, hivyo wanaume wa kiafrika wanakuwa kwenye mawindo. Mwanume anaweza kumtongoza mwanamke au mwanamke akamtongoza mwanaume, lakini kama nilivyokuambia wazuri kwenye maeneo kama haya huwa wachache. Mwanaume hatoi fedha au kuhonga, ni mapendano tu.Na huyo Mwanaume anajijua yeye ni handsome Hadi anamfuata huyo Binti wa kizungu au Binti ndo anamfuata huyo Black Kwa kigezo Cha muonekano wa huyo jamaa?
Naomba pia unifafanulie kuhusiana na kundi hili Mkuu
Jamaa ana akili hawezi kupost private issues. Ila utaona tu manyoya, kazi kwako kumtafuta kuku.Mbona sijaona video walidinyana, video zilizopo ni za kukutana kutongozana na muda wa kuondoka Guest house
I dont think you have bee ''there''. Huu msemo wa wanawake wa kizungu kushobokea wanaume wa kiafrika kwa sababu ya rangi au rasta hauna ukweli sana.Huyo mzungu ni mshamba tu, mbona hata sisi kaka zetu wanashobokewa na hao wazungu wadada, kigezo ni rangi nyeusi na rasta tu, ameyakuza sana akarekodi na dada zake wanavyowakubalia kaka zetu ndani ya dk 1 , aondoke aende kwao💪
Kawachapa Pumbu kirahisi sanaDah Kumbe amewala kabisa Aisee? Mi nafikiri aliwatongoza tu
Ni aibu kubwa kwa wanawake wa Kenya waliorekodiwa kwa siri na mzungu raia wa Urusi kwa siri na kumkubali mara moja na kukutana nao gesti na kuwapelekea moto.
Video hizo ambazo zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii imeleta gumzo.
Cha kushangaza wanawake hao wanatongozwa chini ya dakika moja wanakubali kutoa namba zao na baadaye wanaonekana kwenye gesti na jamaa.
Wanaume wa Kenya wamekasirika na kudai wao inawachukua muda na pesa kumpata mwanamke. Lakini mzungu huyo inamchukua dakika tu na kugonga bure kwasababu ya rangi yake.
Baadhi ya wanawake walionekana kwenye hizo Video ni wafanyakazi supermarket wengine wamekutana barabarani.
Wengine ni wake za watu.
Pia mzungu huyo kafanya hivyo Africa kusini na Ghana na kuposti kwenye mitandao ya kijamii.
Ila huyu jamaa kafanya kosa kuanika hizo Video. Sheria ya faragha kaivunja hajawatendea haki hao wanawake.
DC, New York, Atlanta, Dallas, Houston labda lakini Iowa, Kansas, Missouri, Wisconsin mbona easy sana.Mkuu nitaandika kiujumla kwa uzoefu wangu. 1. Majuu (at least kwa sehemu nilizoishi) kwa wanaume wengi tunaotoka Afrika, kupata wale wadada wa kizungu wazuri ni ngumu (wako wanaopata lakini asilimia ni ndogo). Waafrika wengi wengi huishia ku-date na wale wanawake ambao hawana soko kwa weupe wenzao. (wanene, minyama na shape zimepandiana). 2. Weekends usiku clubs zinajaza wateja wengi na wanawake wengi pia huenda. Watu wakishalewa hukuta wanaanza kutongozana. Mara nyingi clubs wanazojaa weusi unakuta ndiko hao wanawake ma-reject wanapenda kwenda, hivyo wanaume wa kiafrika wanakuwa kwenye mawindo. Mwanume anaweza kumtongoza mwanamke au mwanamke akamtongoza mwanaume, lakini kama nilivyokuambia wazuri kwenye maeneo kama haya huwa wachache. Mwanaume hatoi fedha au kuhonga, ni mapendano tu.
Njaa mbaya sana mkuu, we unadhani Mwashambwa anamtetea samuya kwa akili yake timamu?!