Mh! mbona mi ulinikataa kigaidi sana...?😅Huyo mzungu ni mshamba tu, mbona hata sisi kaka zetu wanashobokewa na hao wazungu wadada, kigezo ni rangi nyeusi na rasta tu, ameyakuza sana akarekodi na dada zake wanavyowakubalia kaka zetu ndani ya dk 1 , aondoke aende kwao💪
Tatizo wake za watu.Sijaiona tatizo hapo!!! Kutongozwa na kukubali ni kosa kisheria??
link?Ni aibu kubwa kwa wanawake wa Kenya waliorekodiwa kwa siri na mzungu raia wa Urusi kwa siri na kumkubali mara moja na kukutana nao gesti na kuwapelekea moto.
Video hizo ambazo zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii imeleta gumzo.
Cha kushangaza wanawake hao wanatongozwa chini ya dakika moja wanakubali kutoa namba zao na baadaye wanaonekana kwenye gesti na jamaa.
Wanaume wa Kenya wamekasirika na kudai wao inawachukua muda na pesa kumpata mwanamke. Lakini mzungu huyo inamchukua dakika tu na kugonga bure kwasababu ya rangi yake.
Baadhi ya wanawake walionekana kwenye hizo Video ni wafanyakazi supermarket wengine wamekutana barabarani.
Wengine ni wake za watu.
Pia mzungu huyo kafanya hivyo Africa kusini na Ghana na kuposti kwenye mitandao ya kijamii.
Ila huyu jamaa kafanya kosa kuanika hizo Video. Sheria ya faragha kaivunja hajawatendea haki hao wanawake.
Sawa mkuuwanawake ma-reject
Si sawa na Mbowe tu alivyokuwa anafanya kwa kuwapa ubunge wa viti maalum akina Joyce?Kwa hapa Bongo angekula mpaka viongozi wakurugenzi
Sasa unafananisha ubunge na iphone 17? Kwenye ubunge watu wanatoa kafara hadi watoto wao ili tu wawe wabunge, ndiyo iwe nyapu tu?ambayo hata bure unatoa?Si sawa na Mbowe tu alivyokuwa anafanya kwa kuwapa ubunge wa viti maalum akina Joyce?
Faragha izingatiwe, alichofanya sio sawaNi aibu kubwa kwa wanawake wa Kenya waliorekodiwa kwa siri na mzungu raia wa Urusi kwa siri na kumkubali mara moja na kukutana nao gesti na kuwapelekea moto.
Video hizo ambazo zinasambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii imeleta gumzo.
Cha kushangaza wanawake hao wanatongozwa chini ya dakika moja wanakubali kutoa namba zao na baadaye wanaonekana kwenye gesti na jamaa.
Wanaume wa Kenya wamekasirika na kudai wao inawachukua muda na pesa kumpata mwanamke. Lakini mzungu huyo inamchukua dakika tu na kugonga bure kwasababu ya rangi yake.
Baadhi ya wanawake walionekana kwenye hizo Video ni wafanyakazi supermarket wengine wamekutana barabarani.
Wengine ni wake za watu.
Pia mzungu huyo kafanya hivyo Africa kusini na Ghana na kuposti kwenye mitandao ya kijamii.
Ila huyu jamaa kafanya kosa kuanika hizo Video. Sheria ya faragha kaivunja hajawatendea haki hao wanawake.
Lucas MwashambwaNjaa mbaya sana mkuu, we unadhani Mwashambwa anamtetea samuya kwa akili yake timamu?!
Itakuwa wanaume zao kazi hamna..!!Not surprised. Wakenya wakiona mizungu tu wanaloa, they would do anything for mizungu literally.
Yesu tusaidie.Ni ushamba tu!
Huyo mzungu atakua kichaa, mbona yeye vibibi vyao vinapelekewa moto na kina ngosha na hawawarekodi yanaisha kimya kimya..!!
Yule msukuma huwa hawatongoz yeye huwa anawafanyia interviewMbona Jack yule youtuber mbongo wa USA anawatongoza watoto wa kitasha mitaa ya Miami kila siku na anapost tunaona.
Itakuwa wanaume zao kazi hamna..!!