Mrusi arekodi kwa siri wanawake Kenya akiwatongoza na kumkubali mara moja. Wengine ni wake za watu

Hakuna cha point tatu wala nini,njoo uone mombasa,zenji,tanga jinsi kobazi wanavyoliwa hadi kutinduliwa vinyeo na wako proud waita sunna za mtume.

yule Nabii wenu Tito ametokea Mombasa ?? Huku Pemba tunaye Father wa Catholic church kutoka Tanganyika maarufu anaitwa father Ukutu , chakula cha bure
 
Hao ndio kina Lusi muuza uchi na Maria tako tatu wazungu hao
 
Hayo ndio madhara ya kikoloni kimila na kiuchumi. Waafrika wengi, tokana na uzwazwa na ukoloni wanaowana wazungu, waarabu hata wahindi na wengine kuwa ni malaika wakati ni wachafu na hovyo kuliko hata kuku na bata wetu achia mbali nguruwe.
 
Hao wagalatia ni nani kawaloga? Basi hiyo ishu si ya watakatifu/wateule, ni wapagani fulani wamekutana na mpagani mwenzao wa kirusi
 
Ngakwila bado yupo hapo?
Amefariki yule Baba miaka karibia miwili imepita , Allaah amrehemu amenisadia sana kipindi nasoma .

Sasa hivi kumepoa enzi hizo shule shule kweli Battle ya Vituka Vs Ukombozi zaidi ya Simba na Yanga . Wahuni kibao , machimbo na watoto Sugu.
 
Reactions: Lax
Tatizo wake za watu.
Ambao hawajaolewa au hawana mpenzi wa kudumu Wala siyo kosa.
Haki yao kwenda kuchezea koki ya mzungu waone wazungu wa mzungu wanatokaje bombani.
Unajua hata kama mke wa mtu ndoa ndio hiyo Ina mashida kibao mtu kataongozwa na kukubali sio shida.
Na hawa wanaume wa kiafrika wengi wao hawajui kufanya hilo tendo.
Hebu waacheni
 
Amefariki yule Baba miaka karibia miwili imepita , Allaah amrehemu amenisadia sana kipindi nasoma .

Sasa hivi kumepoa enzi hizo shule shule kweli Battle ya Vituka Vs Ukombozi zaidi ya Simba na Yanga . Wahuni kibao , machimbo na watoto Sugu.
Aisee poleni sana.

Hapo tulikua tunakuja kupiga mihogo ya shilingi 20/- na mchuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…