Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,758
- 7,249
Endelea tu kushangaa hivyo hivyo!Nashangaa, wenyewe wamemwambia awasiliane na mtu wao wa mawasiliano still bado anatuuliza sisi hapa!😂
Kweli kabisa, tumeongea nao directly wamekua na msaada wa moja kwa moja.Mimi nilipata tatizo na ndege nikajifunza kitu, ukiwa na shida ongea moja kwa moja na shirika la ndege na sio agents. Huko watamzungusha tu bila kumpa muafaka.
Daah hii ya kuchanganya ndege kumbe inawakumba wengi, ila naona ulipata bahati sana, pole na hongera!Aisee
Waingereza poa sana
Wakati ule British Airways inatua bongo, nilichanganya madesa, kumbe ndege inaondoka saa moja asubuhi nikadhani ni saa7 mchana, mwenyewe natinga na mabegi yangu kwa madaha, kufika security wananiuliza unaondoka na ndege gani, mwenyewe kwa mikogo nikasema BA, wakanichekaaa...😀
Ila nilienda ofisi yao wakati huo Movenpick, wakaniambia next flight wewe nenda airport halafu subiri abiria wote wakipanda ndio unaiingia wa mwisho.
Nikajikuta na wazungu wengine wawili na wao wanasubiri hivyohivyo, bahati wote tulipata siti na nilipata ile legroom kabisa sikuamini na sikutoa hata senti ya kuongeza kwa kukosa ndege awali......
*kuachwaKiachwa ni uzembe
Mimi nimeongea na mmoja, anaongea kingereza safi na ametusaidia sana!Bora aende ofisini kwao, customer care yao wabovu sana, na kiingereza kibovu hata hamuelewani.
Mimi kuna wakati nilikosea jina la waifu kwenye kukata ticket, si wakamtoa kwenye booking yangu na kumtengenezea yake tofauti ikawa mawenge kweli siku tunatoa boarding pass....maswali mengi
Nashangaa kwa swali lake hapa wakati he could gat all info's from the call centre. Haya wewe mjuaji wacha mimi niendelee kushangaa kwa kadri uwazavyo.Endelea tu kushangaa hivyo hivyo!
Kwa sasa atakata mpya, halafu atakua reissued hii aliyomiss kwa ajili ya safari nyingine ya 2026Akate upya kwa siku yenye usafiri, kurudishiwa salio itakuwa ngumu.
Sasa hujaona nimejibu kwamba tulikua tunajaribu kote kote. unajua muda wa kusubiri kwenye hizo call center lakini?Nashangaa kwa swali lake hapa wakati he could gat all info's from the call centre. Haya wewe mjuaji wacha mimi niendelee kushangaa kwa kadri uwazavyo.
Asante Fundi 🙏Inategemea aina ya tiketi. Kama tiketi yake inaonyesha gharama za no show au kubadilisha tarehe awasiliane na alikokata tiketi ( kwa kurahisisha) watampa tiketi mpya akilipa hiyo gharama. Tiketi nyingine za bei ya chini haziruhusu mabadiliko yeyote. Ukiwa na hizo inakula kwako. Na kuna zile za gharama ya juu ambazo zinakuruhusu kubadilisha bila gharama yeyote. Ndugu yako aandae 200 dola ajiondokee. Ila wanaweza kumwambia bei ya tiketi ya siku anayotaka kuondoka ni ya juu zaidi hivyo alipie ile tofauti na US 200. Inabidi awe makini anapoongea nao.
Amandla...
Anatoka Madrid 🇪🇸 anarudi bongo.Kwanza utuambie anaenda wapi?!
Sio tukazane kushauri hapa kumbe anaenda Dubai… ushauri uendane na hadhi ya sehemu, maana Dubai siku hizi ni Changanyikeni 😄
Asante, yes inaonyesha anaweza kuchange with a penalty ila tatizo hawezi kuaccess her ticket online anymore, I guess sababu wameshaicancel ticket, hapo ndiyo hajui afanyaje.
View attachment 3441556
Anatoka Madrid 🇪🇸 anarudi bongo.
Bhagosha mashikolo mageni, naseka sana neneIlishawahi kunitokea hii hukooo kwa wenyewe kwa kutokuwa makini katika kusoma masaa ya safari. Nilidhani kuwa safari ipo kesho yake kumbe ni saa 6 na dakika mbili za usiku wa siku ile ile (2 minutes after midnight). Kesho yake kweli nikatimba airport kumbe safari ilikuwa jana yake na watu wameshafika huko walikokuwa wanakwenda.
Niseme tu pengine Mungu Alikuwa upande wangu maana nilipelekwa kwa mkuu mmoja hivi akahangaika wee ili niweze kuondoka usiku huo huo. Tatizo ikawa economy zote zimejaa ila huko business class kulikuwa na siti mbili ziko empty. Akaniangalia weee akaniambia niongezee dola 250 tu. Kweli nikaongeza huyoo nikapelekwa business classs. Na hiyo ndiyo ilikuwa mara yangu ya kwanza kusafiri business class aisee. Bahati nzuri nikiwa nasafiri haya masafari marefu huwa naweka pamba za kueleweka na sikuwa out of place. Pengine walidhani ni bonge la businessman kumbe mlima nyanya na dengu tu kutoka Misungwi....
Huyo kuna hela watamwambia aongezee na akifanya hivyo watambump kama kuna ndege ina nafasi. Ila ni vizuri kusoma terms and conditions maana kila shirika la ndege lina sheria zake. Na pia kuna tiketi kama zile za discount kubwa huwa hazina mwanya wo wote. Ukikosea tu ndiyo imekula kwako mazima. Na awe makini zaidi siku zingine. Afike airport masaa angalau matatu kabla ya safari na kama kuna dharula ahangaike kubadilisha safari mapema!
Ume nikumbusha uki taka kuondoka, una sema naenda mtoni kufua.Msiwe mnaagaaga vijana mnaposafiri safari ambazo huku Africa tunaamini tayari umetoboa.
Unaweza ukajikuta hufiki airport, wewe kila ukifika Tazara unarudi kuelekea buguruni.
ndani ya mitaa ya Afghanistan.
Sema Wallahi 😉Jamii forum hamna customer care wa Turkish airline