๐น๐น๐นMamie na machungu umenichekeshaje ๐ ๐
Hapa nimemaliza kupiga simu naambiwa tofauti ya bei ya tiketi inayobidi iongezwe $1,700 na penalty dola 100, nimechoka ๐nikamkumbuka boda wangu tuliyewahi kukimbiza naye Kimbinyiko mpaka kibaha.
Hapo sawa nimekupataHayuko Tz, anatokea Europe anarudi Bongo.
kama umesafiri mara nyingi, unajua si kila airport wana customer representative wa kila airline.
Dogo alifika check in counter zimeshafungwa na hakukua na customer desk ya Turkish airlines.
Kabisa, vipi wewe unatoa lift kwenye hiyo Private jet yako?kuna umuhimu sana wa kuwa na private jet.. kuliko hizi za sogea tukae ๐ซฉ
Amefanikiwa, ila Parcel si utume tu na DHLAkifanikiwa anicheck Nina ka parcel anipelekee pale Istanbul,atakuja kupokelewa hapo
๐๐ hapana lift hakuna Binti wa zamani , endeleeni sogea tukae tuKabisa, vipi wewe unatoa lift kwenye hiyo Private jet yako?
Hahahahahahaha aisee nimecheka sana, kwahyo kumbe hii 1:00 na 7:00 huwa inatuchanganya wengi.Aisee
Waingereza poa sana
Wakati ule British Airways inatua bongo, nilichanganya madesa, kumbe ndege inaondoka saa moja asubuhi nikadhani ni saa7 mchana, mwenyewe natinga na mabegi yangu kwa madaha, kufika security wananiuliza unaondoka na ndege gani, mwenyewe kwa mikogo nikasema BA, wakanichekaaa...๐
Ila nilienda ofisi yao wakati huo Movenpick, wakaniambia next flight wewe nenda airport halafu subiri abiria wote wakipanda ndio unaiingia wa mwisho.
Nikajikuta na wazungu wengine wawili na wao wanasubiri hivyohivyo, bahati wote tulipata siti na nilipata ile legroom kabisa sikuamini na sikutoa hata senti ya kuongeza kwa kukosa ndege awali......
Hahahaha hili linaweza kuwa kweli japo sielewi mechanism.Msiwe mnaagaaga vijana mnaposafiri safari ambazo huku Africa tunaamini tayari umetoboa.
Unaweza ukajikuta hufiki airport, wewe kila ukifika Tazara unarudi kuelekea buguruni.
ndani ya mitaa ya Afghanistan.
Coco leo kwa mara ya kwanza nimeona umeandika kiswahili kilichonyooka angalau.Awapigie simu au kwenye website yao lazima utakuwa na into zaidi za kuwafikia hata labda wana chat ot. Sijawahi kusafiri nao ila kama ni no show basi atalipia kiasi alivhoambiwa kwa T&C za tiketi yake yeye(usifananishe na wengine labda kama yao yapo sawa)
Bora kuwahi maana bei ya ticket ikitofautiana mara nyingi mtu unaambiwa ulipie tofauti yake.
Kama alinunua tiketi kwa agent awasiliane nao, kama online awatafute.
Naepuka cost,lini safari yake nimletee hapo airport,ni kdg tuu nimefunga vzr anaweza ata weka Kwa MKoba ake km n ke,au kwenye bag km ni me,Amefanikiwa, ila Parcel si utume tu na DHL
Asante tumeresolve, atasafiri leo usiku, akifika uje mamie unisaidie kushusha makwenzi, maana si kwa hasara hizi anazotutia!!๐น๐น๐น
Pole sana babes
Mimi katika vitu niko makini navyo hapa duniani pipa na ATM yani huwa natulia uchizi naweka pembeni..!!
Aaanha wigi nililitoa nikalirusha kwenye pochi, nilikua naona linaniwekea uzito tu ๐๐๐Hapo kwa boda na kimbinyiko sasa wig halikutoka? ๐น
Hujakosea ๐ฏHaijawahi tokea ndege kumuacha mtu, inapotokea uzembe wa abiria kudelay eidha kwa uzembe wakutosoma ticket yake ambayo ina taka abiria awasiliane masaa mawili kabla ya muda checking hapo abiria anakuwa ameiyacha ndege,, huruma Yao ni penalty ili ticket ya awali iwe veryfyd,, ingawa Miki sio mtaaalam Sana naruhusu kukosolewa kwakisukari
Na bado ukacomment ๐no comment
Sana ๐ฏKuna umuhimu wa kuwa na travel insurance
Pole babu kwa shughuli za shamba, nafurahi umefika.Nimechelewa kufika Mjukuu pamoja na kuniita Kwa sauti.
Babu yenu nilikuwa shambani tangu juzi, ambapo network haikuwa active sana ๐
Natumai utakuwa umepata mwongozo sahihi.
Ila unachotakiwa kufanya ni kwenda ukiwa na tiketi yako zilipo Ofisi za Turkish airlines ndani ya masaa 24 ukiwaeleza ulipata changamoto either za kiafya (You can cook and provide evidence) ili wakupatie nafasi ya kusafiri Kwa schedule ya next day.
Next time, mwambie ndugu wako aongeze umakini anapofanya booking ya safari hasa na mashirika makubwa ya Ndege
Hizi za kwetu za ndani wanaweza kuwa waelewa, ila hayo ya nje ni hadi kuwa na dharula inayoeleweka
Ndiyo maana nikashauri upike taarifa za kuugua kabla ya hiyo safari
๐ ๐ ๐Fanya kama unaenda kuchukua mafenesi Kisarawe halafu chukua njiapanda ya Ulaya kuyajua mawingu.
Asante mkuu, ila masaa 4 mbona utakaa airport muda mrefu sana, mimi huwa najitahidi masaa mawili!Kiukweli mimi huwa naenda kucheck in mapema wakifungua tu, yaani masaa hata manne kabla nimeshafika, huwa inaonekana kama ushamba ila kuachwa na ndege sio kama kuachwa na champion, pole mkuu.
Eti Puberty darasa la sita ๐๐๐ sema mada za rahaBut kumbe nje ya mada za puberty darasa la sita, una maisha yako, ukute ni katibu mkuu wa wizara.
Aniletee Olay full set mwambie ili makwenzi yawe ya kistarโฆ!! ๐น๐น๐นAsante tumeresolve, atasafiri leo usiku, akifika uje mamie unisaidie kushusha makwenzi, maana si kwa hasara hizi anazotutia!!
Aaanha wigi nililitoa nikalirusha kwenye pochi, nilikua naona linaniwekea uzito tu ๐๐๐