MJOMBA CHAKA
Member
- Oct 22, 2022
- 89
- 71
Wa kwanza kwanza huwa wanafaidika,we ingiza pesa,Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede....
Mbona tunapenda mitelezo!!! Taasisi inajenga misikiti na makanisa ya wanachama wangapi? Kwa nini utoe kiingilio? cha 92elfu? Ni aina ya Mzee kalynda wa rangi nyegine. Kijana shtuka ukimbie...Maeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede...
Bado hamkomi tu. Kuna watu mnapenda kutapeliwa sana
Nielekeze walipo mbona tunabeti na kuliwaMaeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede.
Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama wao, ili uwe mwanachama, itakulazimu utoe elf 92 kama ada ya uanachama.
Shirika litakapoanza kazi rasmi, wanachama watapewa misaada ya vyakula, kama ngano, unga. Mchele, mafuta na kadhalika.
Jamaa wawili watatu wapo huko na wananishawishi nijiunge. Kabla sijafanza lolote, naona bora niulize. Ili mwenye kujua anijuze. Isije kuwa ni mashirika mengine ya kitapeli, kama deci na kadharika.
Naomba kuwasilisha
Wameshakuona wewe ni fursa. Hiyo ni Kalyanda nyingine. Kaa nao mbaliMaeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede.
Wanatoa kazi na misaada kwa wanachama wao, ili uwe mwanachama, itakulazimu utoe elf 92 kama ada ya uanachama.
Shirika litakapoanza kazi rasmi, wanachama watapewa misaada ya vyakula, kama ngano, unga. Mchele, mafuta na kadhalika.
Jamaa wawili watatu wapo huko na wananishawishi nijiunge. Kabla sijafanza lolote, naona bora niulize. Ili mwenye kujua anijuze. Isije kuwa ni mashirika mengine ya kitapeli, kama deci na kadharika.
Naomba kuwasilisha
Hakuna kitu kama hicho yaani upewe msaada kwa kuwachangia wao sasa nini maana ya msaada hapo mtapigwa vibaya sana.. narudia tena mtalizwaaaMaeneo ya kimara suka dsm, kuna shirika linaloitwa (UM) United Mission. Au jina lingine ni Foundation Mission Tanzania (FMT). Wanajihusisha na utoaji misaada kwa jamii, kama kujenga misikiti, makanisa, mashule, uchimbaji visima na mambo mengine kede kede.