Msaada: Anayejua kuhusu hili shirika naomba anisaidie

Mwamba huyu hapa amekuja kwa style 😎 nyingine
 
lakini siyo lengo langu kuwapromote. nimelazimika kueleza niliyoeleza. ili nieleweke zyd
 
Nenda wakakutupwise tuhela twako, kuanzia lini taasisi ikawa na majina mawili?
 
Nimeshasikia kuhusu hili shirika Maza angu wamempata wamemwambia achangie dola1 eti shirika likianza watagawiwa chakula bure sijui nini, ings, mchele, sukari na vingine kwa dola 1? Aisee nikamwambia maza ushaliwa ela yako, halafu kawalipia watu 6 aisee, kamshawishi na braza alipe 105,000 ili shirika likianza braza atapewa kazi .... aisee. Nikawaambia mshaliwa nyie tayari.
 
Umefanya jambo la maana sana kuuliza, ni bora uonekane mjinga kwa kuuliza kuliko kujifanya mjanja baadae maumivu
 
Jiungefaster babu mm Niko uko na nibafaidika Sana elf 96 utapokea Zaid yamara 18 ya misaada
 
Inawezeka huyu anaeulizia ndiyo mtego mwenyewe, yupo kazini.
hapana ndugu. mimi sihusiki na wala sijajiunga nalo. nina watu wangu tn wa karibu wamenidokeza juu hilo. nami nikalileta kwenu ili nipate cha kukipata toka kwenu
 
Kijjiji kujiunga ni 150k kuwa badae litakuwa linajenga misikiti, Makanisa, kuchimba Visima na kugawa unga pamoja na Mchele je ni kweli kama Sio kweli Watu wanatapelipwa sana serikali iingilie kati tika 2022 wametoa hela Zao lakini mpka leo wanaendelea kupigwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…