political monger senior
JF-Expert Member
- Nov 26, 2020
- 1,827
- 5,994
- Thread starter
-
- #61
Pamoja mkuu alichozidi kunivuruga ni kukataa kwenda kupima alafu miezi 6 iliyopita alikuwa MBEYA yani ndio kazidi kunivuruga [emoji17][emoji17]Wewe jamaa kwanza ni muoga sijawai ona mimi hizo situations nishakutana nazo zaidi ya mara tatu na kuna doctor alinambia uoga huwa unafanya mwili ureact vile unavyofikiria wewe ila mwisho wa siku hauna ugonjwa hiyo ni hali ya kawaida hata mimi nimepitia zaidi ya mara tatu ila sio kwa kiwango chako cha stress ila cha kukushauri kwa ulivyo muoga usipige peku wewe au uwe unapima before kupiga maana wewe unaeza kufa kwa mawazo kabla ya HIV yenyewe haijakuua
Funguka kidogo mkuuKwani ukimuangalia demu wako usoni katika paji la uso wake panakuwaje
Nilishabishana mpaka na mpimaji Hospital alivyoniambia Negative nikaanza kumuelezea hali yangu ilivyo yani niliyokuwa namtolea macho mpaka akaanza kuniogopa..Wewe jamaa kwanza ni muoga sijawai ona mimi hizo situations nishakutana nazo zaidi ya mara tatu na kuna doctor alinambia uoga huwa unafanya mwili ureact vile unavyofikiria wewe ila mwisho wa siku hauna ugonjwa hiyo ni hali ya kawaida hata mimi nimepitia zaidi ya mara tatu ila sio kwa kiwango chako cha stress ila cha kukushauri kwa ulivyo muoga usipige peku wewe au uwe unapima before kupiga maana wewe unaeza kufa kwa mawazo kabla ya HIV yenyewe haijakuua
[emoji120] leo ni siku ya 26 toka tukio siku ya tukio [emoji17]Pole sana mdogo wangu ila achana na zinaa na kama huwezi kuacha basi jitahidi kutumia kondom ili kuepusha haya unayoyapitia sasa.kwa uzoefu wangu virus vya ukimwi huonekana baada ya miezi mitatu toka ulipopata maambukizi kwa kutumia vifaa kama sd bioline.hvyo ni vema ukasubiri kwa huo mda japo kuna vifaa vya kutzama ndan ya wiki ila ni gharama sana kama unao uwezo tembelea muhmbili.incase ikitokea umepata maambukiz basi pia usikate tamaa ni hali ya kawaida na maisha yataendelea kama kawaida
Kipengele kigumu sanaa hichi ππππHusingehuza mechi banaa..!!! ANyway, siku nyingine HUSIRUDIE KUHUZA MECHI
Kwel jamaa anaupenda sana uhai sana....Wewe jamaa kwanza ni muoga sijawai ona mimi hizo situations nishakutana nazo zaidi ya mara tatu na kuna doctor alinambia uoga huwa unafanya mwili ureact vile unavyofikiria wewe ila mwisho wa siku hauna ugonjwa hiyo ni hali ya kawaida hata mimi nimepitia zaidi ya mara tatu ila sio kwa kiwango chako cha stress ila cha kukushauri kwa ulivyo muoga usipige peku wewe au uwe unapima before kupiga maana wewe unaeza kufa kwa mawazo kabla ya HIV yenyewe haijakuua
We acha mkuu ...Hii condition imenibadilishia karibu nusu ya mwenendo wa maisha yangu ikiwa ni pamoja na kufanya ibada na kuwa karibu na mola wangu[emoji120]Kipengele kigumu sanaa hichi [emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Mkuu usiogope be positive ukimwi mpaka kupatikane mchubuko hope Mungu atakuongozaa na hauto pata HIV /AIDSWe acha mkuu ...Hii condition imenibadilishia karibu nusu ya mwenendo wa maisha yangu ikiwa ni pamoja na kufanya ibada na kuwa karibu na mola wangu[emoji120]
Situation niliyoipitia apo before ni ngumu na mbaya kuna siku nipo kwenye gari naende Hindu mandal hospital kigogo pale kwenye ule mteremko nikaliona lori linakuja yani akili yangu ikawa inanituma nilifuate ili tugongane uso kwa uso nilijiona sina thamani kabisa[emoji17][emoji17]Kwel jamaa anaupenda sana uhai sana....
Miilli yetu ni ya udongo na mavumbi ni mavumbi tutarud udongoni.......
Huku UNAKWEPA UKIMWI ALAF UNAKUFA KWA MARALIA........
Ukiwaza maradhi ni HAZINA HUWEZI KUNUNUA SHANGINGI......
NDUGU ZANGU HIV/AIDS IS REAL
π π pole kijana wengeee ni hatari sanaa unaugua ukimwi kablda ya kuupataNitaandika mkasa wangu hapa pia,, ila unachokisema ni kama umenisemea mimi. Nilienda vituo tofauti vya afya karibia kila siku, na kuna hospital moja hadi yule dokta alijua naelekea kuchanganyikiwa sababu kila nilipoona utofauti kidogo wa mwili, mfano kipele kikubwa kwenye ngozi hata kama ni kimoja basi nilienda huku nalia. Acha kabisa
Amin inshallah mkuu[emoji120]Mkuu usiogope be positive ukimwi mpaka kupatikane mchubuko hope Mungu atakuongozaa na hauto pata HIV /AIDS
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yani imefikia hatua usiku sipati usingizi nawaza tu itakuaje ndio nimeshaukwaa..nimekuwa na utaratibu kila nikiamka nachukua kioo na kuanza kujiangalia kifuani na na usoni kama nina vipele[emoji17]
Utaki ata kumfariji mgonjwa [emoji29][emoji29] ata kunipa false hope umeshindwa[emoji2][emoji2][emoji16][emoji16]Unaloo hilooo baba, umelikoroga lazima ulinywee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] parapanda italiaaa soon
Kama anatumia dawa kwa usahihi je? Viral road wakawa chini. Akipima akakutwa negative wakati ni +ve ilio jikubali? Utafanyaje?..Yani bado naamini kuwa yule demu akikubali kupima akikutwa hana maambukizi na mimi ndio moyo wangu utapowa so sad
Michubuko sina uhakika kama ilitokea nachoogopa ni ule mda nilioutumia kwenye Round ya kwanza tu zaidi ya dk 45[emoji29][emoji29] maandalizi nilifanya zaidi ya dk30..Kama anatumia dawa kwa usahihi je? Viral road wakawa chini. Akipima akakutwa negative wakati ni +ve ilio jikubali? Utafanyaje?..
Jali afya yako ndugu, fatia utaratibu kama ni kuendelea kusubiri ufanye ya bioline au kama unaweza fanya iko kipimo cha damu, ondoa woga, punguza wasiwasi. [emoji23]
Kwanza kwanini unawaza kuambukizwa? Ulipeleka moto hadi ukachubuka au?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HIV ipo ndugu lakin pia kupata/kutopata sio kirahisi ivyo..
Nitasubiri iyo miezi 3 mwenyezi mungu akipenda..Kama anatumia dawa kwa usahihi je? Viral road wakawa chini. Akipima akakutwa negative wakati ni +ve ilio jikubali? Utafanyaje?..
Jali afya yako ndugu, fatia utaratibu kama ni kuendelea kusubiri ufanye ya bioline au kama unaweza fanya iko kipimo cha damu, ondoa woga, punguza wasiwasi. [emoji23]
Kwanza kwanini unawaza kuambukizwa? Ulipeleka moto hadi ukachubuka au?"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HIV ipo ndugu lakin pia kupata/kutopata sio kirahisi ivyo..
Polee mongerππ kwaio umemuacha?? Baada ya kukataa kupima..Nitasubiri iyo miezi 3 mwenyezi mungu akipenda..