Msaada baada ya kuuza mechi nimekuwa mtu wa kuhisi nimeambukizwa UKIMWI

Pole sana mkuu kabla ya yote ni vizuri kupima kwanza hata uwe umempendaje hata awe na shepu ipi hata awe mzuri vipi check first!!!

Afya kwanza mengine yapo tu!
Kama maandalizi yakiwa powaa na kukilainika kiasi isitokee michubuko hauwez kuupata......

Mkuu tulio uza mechi Kwa macho unatuogopeshaa🤓🤓🤓😔😔😔
 
Yaani nimecheka kwa sauti! Kwa hiyo furaha yako ni kwamba kipimo kionyeshe unao au??

Next time tumia condoms, UKIMWI upo na unatesa!
 
Polee monger[emoji23][emoji23] kwaio umemuacha?? Baada ya kukataa kupima..
Nimebaki kumtumia txt za uzuni tu kuwa ajitaidi kutumia dozi vizuri ili asije kuwaambukiza wengine kama alivyonifanyia mimi cc Dahan.
 
Inaonekana una ufahamu wa mambo,sasa sie tutakayo kuambia si Msaada kwako
 
Mkuu namuomba mwenyezi mungu panapo majaliwa tarehe 9 mwezi wa 9 ndio itakuwa zinatimia Siku 90 yani miezi 3 nikapime tena.
Utatupa mrejesho lkn hauna, kwasababu kama unapata mafua means virusi tayari vipo kwenye damu na kinga ya mwili imeshuka hivyo lazima vingeonekana.
Umepima havionekani jaribu kufua neti, mashuka, kusafisha feni labda ni vumbi tu Mzee😹
 
Utatupa mrejesho lkn hauna, kwasababu kama unapata mafua means virusi tayari vipo kwenye damu na kinga ya mwili imeshuka hivyo lazima vingeonekana.
Umepima havionekani jaribu kufua neti, mashuka, kusafisha feni labda ni vumbi tu Mzee[emoji81]
[emoji1666] pamoja mkuu
 
Negative..Negative nimepima na kukuta Sina maambikizo asanteni sana ndugu zangu wa JF Kwa kunipa moyo kwenye kipindi kile kigumu nilichokuwa napitia..
 
Umri wako tafadhali...! Maana jambo ulilo lifanya ni la kitoto sana, jukumu la kujilinda afya Yako ni lako mwenyewe. Sasa what if ungekutwa umeambukizwa ungemfanyaje huyo Binti wa watu...? Wewe ndio ulimtongoza na NY*ge zako zikakutuma umle peku.

Sijaona kosa lake Hadi utake kujua afya yake. Kwani ulikuwa na mpango wa kumuoa...?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…