Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

Nenda kwa watatezi wa kisheria watakusaidia naona watu wanakutukana tu bila kujua
 
Miaka 41 unaenda kuanza maisha yapi?wakati wenzio wanaanza maisha wewe ulikua wapi?wakati anauza nyumba angepaswa akuuze na wewe kama nyongeza kwa mwenye nyumba,,mzee wako alitegemea ungemuambia usiuze tufanye hivi na hivi ili kurahisisha maisha wewe ukaingia tamaa,,

N:b,angalia usije muua baba yako kwa tamaa za fedha ambayo hujaitokea jasho.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Unaomba hela ya udalali? Nyumba ni yako kwani mzee?

Mwache mzee ale mali yake ikimpendeza atakugawia mwenyewe kwa mapenzi yake.
 
Wewe ni mjinga uliyezeeka.
Ulitakiwa kuwa sehemu ya madalali wa kuuza nyumba maana hata baba yako asipokupa ungepata walau hata 10m ya udalali
 
Nakuomba shetani asikuingie uwaze kumuua baba.

Embu niambie eti hii ni kesi ipo mahakamani jaji atatoa hukumu gani kama sio kumchapa viboko huyu kijana mwenye umri wa miaka 41?

Na anahitaji sana maombi ya kukemea roho ya kumuua Baba yake, umeona anasema hasira aliyonayo hawezi kumwangalia Mzazi wake?
 
Hana jipya hana mada anatafuta comment tu dah wabongo tatizo mtoto wa kiume miaka 41 analalama ?
 
Nenda kwa watatezi wa kisheria watakusaidia naona watu wanakutukana tu bila kujua
mkuu naomba unielekeze mkuu, naona umu watu wananishambulia tu, wengine wana chuki kuona mzee ameuza nyumba wanaona nikipata pesa nitafaidi wakati wao hawana, watanzania chuki zitawauwa
 
Ungesimama kama dalali usingekuwa unalaum hapa ila kama kweli pole kuna mchepuko umemdanganya sisi mzee wetu anaamini maisha kupigiana kampan na sio ubinafsi ndio mana akipokea mshahara wake atafanya juu chn watoto wote atugawie na sisi ni hivyo hivyo tukipokea tunagawa ndani ya familia na ndio tulivyo jengwa mzee wetu na tukiona mmoja wetu anataka kujenga wote tunamchangia mpaka sasa wote kumi tuna nyumba ni vile tu waafrika tuna umimi
 
MZEE WAKO AMEUZA NYUMBA SABABU NINYI WATOTO HAMUMJALI.ALIPOKUPA WAZO LA KUUZA UNGEMWAMBIA ASIUZE NA KAMA KWENDA KIJIJINI UNGEMWAMBIA AENDE NA UTAMSAIDIA MAMBO YAKE YAENDE NA HIYO NYUMBA APANGISHE.ILA KWA MATOPE YALIYOJAZA UBONGO WAKO UKAANZA KUFIKIRIA MGAO.ENdeLeA Kupiga pull na kupiga chabo ndo unachoweza
 
mkuu naomba unielekeze mkuu, naona umu watu wananishambulia tu, wengine wana chuki kuona mzee ameuza nyumba wanaona nikipata pesa nitafaidi wakati wao hawana, watanzania chuki zitawauwa
Kweli kuna kuzaa na kupata...
 

Umeshasema ni nyumba yake aliyouza hivyo tafuta yako
 
baba yako kauza nyumba baada ya yeye kuona wewe huondoki nyumbani na anashindwa kukufukuza, mbona hujiongezi wewe, akufukuzaye akwambii toka [emoji16]
 
Kwahiyo kila mtu anaeuza vitu vyake utatuambia tukushauri wewe?
 
nyumba ni yetu, maana nimezaliwa hapo hapo
Acha ufala yenu ina jina lako au la baba yako

Wewe ulijuaje huyo ni baba yako? Mama pekee ndio anajua baba wa mtoto wake

Tena ningekuwa huyo baba ako ningekupiga makofi ya kelebu

Umefuga midevu kutegemea ela za mwanaume mwenzako hovyo kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…