Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,515
- 6,230
Ni mali ya baba yangu ila mimi ni mtoto wa wake kabisa kabisa wa kumzaa
Ni mtoto wa zinaa au wa halali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mali ya baba yangu ila mimi ni mtoto wa wake kabisa kabisa wa kumzaa
Kwa umri wa miaka 41? Mbona huyo ni mtu wa umri umeshaenda tayari? Mtoto anayestahili kulelewa ni yule ambaye ni under 18yrs. au yule aliyeko masomoni/Shule/Chuo au ni mlemavu kwa namna moja au nyengine.It is the sile reaponsibility of the parent to ensure kuwa mtoto anajitegemea. Listen as humans we plan and in planning u shuld always hope for the best and prepare for the worse. Kuna wazazi wengintuu watotot wao wamewasomesha lakini mpaka leo wapo majumbani. It is not to thier liking hao watoto kuwepo hapa but ndio wat we call life.
Now in time of need a parent should not abadon their child instead parent should offer moral support and kama kweli upo finacially able u shuld help ur child out if need be. Mtoto mwenyewe akiona kwamba mzazi anaonyesha genuine comcern kuhusuana na situation yake ata appreciate. Any parent ambaye ana uwezo but ana mu abadon mtoto wake yeye mwenyewe, huyo ni pure evil and deserves to die in my opinnion.
nyumba ni yetu, maana nimezaliwa hapo hapo
[emoji23][emoji23][emoji23], Ngoja Vyombo vya Ulinzi na usalama vikushughulikie.Cha msingi jamaa atekeleze tuu ushauri wangu wether ni fyatu au sio fyatu.
Mtu kala 270000 kwa siku tatuAkili ya kawaida itasema ni haki yake, nawe ukatafute vyako.. Lkn hakika hakika, hii ni miongoni mwa vyanzo vya umasikini Africa.. Hakuna muendelezo wa kupambana na umasikini kutoka kizazi kimoja kwenda kingine!
My assumptions ni kwamba mzee ana zaidi ya 60 years, hizo pesa anaenda kutapanya unless ana michoro yake mizuri.
Ningeshauri akupatie 150m mngefungua biashara ya familia yenu na siyo kukupa wewe pesa ukatapanye; yeyote atakayesimamia sawa tu kadiri ya makubaliano yenu, 100m abaki nayo aponde maisha aende na likizo hata Seychelles
Sio kwamba huyo Mzee akutaka kumpa ila jamaa ana haraka siku mbili tu baada ya mauzo wakati Mzee anaendelea kupanga mipango yake vizuri yeye anadai pesa?Unajuaje kama ni baba yako, inawezekana Mama yako alikwishamuumiza hapo nyuma kwa kumwambia hao siyo watoto wake. Ndo maana mzee kauza nyumba asije acha urithi kwa watu baki, hayo yapo sana kwenye jamiii zetu. Akina Mama wengi wanaharibu familia zao kwa maneno yasiyofaa kwa waume zao, hivyo kuharibu familia nzima. Kwa hali ya kawaida baba mwenye upendo kwa watoto wake usingekosa hata 10million, . Pia inawezekana wewe ni mfuja Mali, upo upo tu. Huna mbele wala nyuma na miaka yote hiyo 41. Kwa hali ya kawaida miaka hiyo ulitakiwa uwe na mji wako na nyumba yako au apartment yako na Maisha yako.
😁😁😁😁😁kijana una umri wa miaka 41? daah sisiem imetumaliza
😁😁😁😁Unajuaje kama ni baba yako, inawezekana Mama yako alikwishamuumiza hapo nyuma kwa kumwambia hao siyo watoto wake. Ndo maana mzee kauza nyumba asije acha urithi kwa watu baki, hayo yapo sana kwenye jamiii zetu. Akina Mama wengi wanaharibu familia zao kwa maneno yasiyofaa kwa waume zao, hivyo kuharibu familia nzima. Kwa hali ya kawaida baba mwenye upendo kwa watoto wake usingekosa hata 10million, . Pia inawezekana wewe ni mfuja Mali, upo upo tu. Huna mbele wala nyuma na miaka yote hiyo 41. Kwa hali ya kawaida miaka hiyo ulitakiwa uwe na mji wako na nyumba yako au apartment yako na Maisha yako.
Kwa umri wa miaka 41 halafu wewe ni mtoto wa mwisho wa huyo mzee inaonekana baba ana miaka zaidi ya 70Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni mtoto wa tatu kwenye familia.
Baba yangu alijenga DAR ES SALAAM miaka mingi iliyo pita, sasa mwezi uliopita 12/2021 alikuja na mtazamo wake na kutueleza sisi watoto wake kuwa anataka kuuza nyumba yake hii na aende akaamie kijijini na kuchagua maisha yake yote ataishi uko.
Upande wangu nilipokea ombi lake ilo kwa furaha sana maana niliona kabisa kuwa baba akiuza ntapata pesa na mimi ya kuanzia maisha, baada ya kusema ivyo nikaingia kwenye miangaiko ya kutafuta mteja na dalali ambaye atasaidia iyo nyumba iuzwe haraka, mungu si Athumani ndani ya week mbili tu akatokea mteja akiwa anaitaka iyo nyumba kwa sh milion 245 (maana nyumba ipo eneo zuri sana).
Dalali alimleta yule mteja na kuikagua nyumba nzima na eneo na uyo mteja aliahidi kuja kufanya malipo baada ya siku 3, uwezi amini nilifurahi sana sana nilikuwa na bajeti yangu ya laki 2 na elfu 70 kwa furaha nzima iyo ela niliitumia kwa kufurahia maana nilijua kabisa nimesha kula maisha. Baada ya siku 3 kweli yule mnunuzi alikuja na kufanya malipo na kukamilisha kila kitu,
Ndugu zangu nashindwa ata kuandika vizuri, baba baada ya kupokea pesa ataki ata kunishirikisha kwa chochote, hajanipa ata sent kumi yake kwenye iyo ela, baada ya siku mbili kupita mzee akiwa kimya ikabidi nimuambie baba vipi kuhusu ela ya mauzo ya nyumba unioni mwanao na mimi nikaangalie maisha yangu mbele ya safari, baba amenijibu tu kwa wepesi kabisa eti "SAWA NENDA KAANGALIE MAISHA TU, NAKUTAKIA KILA LENYE HERI" nikamuambia baba naendaje kuangalia maisha wakati ujanipa chochote, akaniambia kwani nadai nini kwake, kwa kweli ni kauli zilizo nivunja sana moyo na kunikatisha kabisa tamaa ya kuishi.
Noambeni ushauri wenu ili fate atua za kisheria mzee aweze kunipa na mimi upande wa maali kama mtoto wake wa kumzaa, maana nina week sasaivi sina furaha kabisa na aya maisha, naombeni sana ushauri wa haraka, maana baba siwezi kumtazama ata usoni ananipa sana hasira.
Matumaini yangu nitapata ushauri mzuri na wakufanya nipate aki yangu.