Rukaka2020
Senior Member
- Jun 20, 2020
- 137
- 638
Naunga na Mzee, Kukutakia kila lenye heri uendako[emoji16]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti mi mtoto wake kabisa kabisa wa kumzaa, juha wewNi mali ya baba yangu ila mimi ni mtoto wa wake kabisa kabisa wa kumzaa
Unaposema yenu ulichangia shingap juha wewnyumba ni yetu, maana nimezaliwa hapo hapo
Hakuna cha ila hapaNi mali ya baba yangu ila mimi ni mtoto wa wake kabisa kabisa wa kumzaa
Hahahaha huyu jamaa chenga sana na mshua wake.[emoji2][emoji2]huwa nacheka sana thread za jamaa na dingi ake ,alipoteaga hapa Jf
Aisee wewe mpumbavu sana kwani ulimsaidia kujengaHabari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni mtoto wa tatu kwenye familia.
Baba yangu alijenga DAR ES SALAAM miaka mingi iliyo pita, sasa mwezi uliopita 12/2021 alikuja na mtazamo wake na kutueleza sisi watoto wake kuwa anataka kuuza nyumba yake hii na aende akaamie kijijini na kuchagua maisha yake yote ataishi uko.
Upande wangu nilipokea ombi lake ilo kwa furaha sana maana niliona kabisa kuwa baba akiuza ntapata pesa na mimi ya kuanzia maisha, baada ya kusema ivyo nikaingia kwenye miangaiko ya kutafuta mteja na dalali ambaye atasaidia iyo nyumba iuzwe haraka, mungu si Athumani ndani ya week mbili tu akatokea mteja akiwa anaitaka iyo nyumba kwa sh milion 245 (maana nyumba ipo eneo zuri sana).
Dalali alimleta yule mteja na kuikagua nyumba nzima na eneo na uyo mteja aliahidi kuja kufanya malipo baada ya siku 3, uwezi amini nilifurahi sana sana nilikuwa na bajeti yangu ya laki 2 na elfu 70 kwa furaha nzima iyo ela niliitumia kwa kufurahia maana nilijua kabisa nimesha kula maisha. Baada ya siku 3 kweli yule mnunuzi alikuja na kufanya malipo na kukamilisha kila kitu,
Ndugu zangu nashindwa ata kuandika vizuri, baba baada ya kupokea pesa ataki ata kunishirikisha kwa chochote, hajanipa ata sent kumi yake kwenye iyo ela, baada ya siku mbili kupita mzee akiwa kimya ikabidi nimuambie baba vipi kuhusu ela ya mauzo ya nyumba unioni mwanao na mimi nikaangalie maisha yangu mbele ya safari, baba amenijibu tu kwa wepesi kabisa eti "SAWA NENDA KAANGALIE MAISHA TU, NAKUTAKIA KILA LENYE HERI" nikamuambia baba naendaje kuangalia maisha wakati ujanipa chochote, akaniambia kwani nadai nini kwake, kwa kweli ni kauli zilizo nivunja sana moyo na kunikatisha kabisa tamaa ya kuishi.
Noambeni ushauri wenu ili fate atua za kisheria mzee aweze kunipa na mimi upande wa maali kama mtoto wake wa kumzaa, maana nina week sasaivi sina furaha kabisa na aya maisha, naombeni sana ushauri wa haraka, maana baba siwezi kumtazama ata usoni ananipa sana hasira.
Matumaini yangu nitapata ushauri mzuri na wakufanya nipate aki yangu.
Walahi!! Hata sisi wa miaka hiyo bado ni vijana? Naamini kweli Polepole bado ni kijana.
Naomba Mungu asinipe watoto kama wewe. Unaweza hata kumdhuru babako kwa pesa zake mwenyewe. Babako alikwambia alijenga baada ya kupewa pesa na babake?
Miaka 41 hauna pesa, hauna kwwko, hauna kazi, hauna mke, hauna mtoto unataka pesa za kazi gani mzee?Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni mtoto wa tatu kwenye familia.
Baba yangu alijenga DAR ES SALAAM miaka mingi iliyo pita, sasa mwezi uliopita 12/2021 alikuja na mtazamo wake na kutueleza sisi watoto wake kuwa anataka kuuza nyumba yake hii na aende akaamie kijijini na kuchagua maisha yake yote ataishi uko.
Upande wangu nilipokea ombi lake ilo kwa furaha sana maana niliona kabisa kuwa baba akiuza ntapata pesa na mimi ya kuanzia maisha, baada ya kusema ivyo nikaingia kwenye miangaiko ya kutafuta mteja na dalali ambaye atasaidia iyo nyumba iuzwe haraka, mungu si Athumani ndani ya week mbili tu akatokea mteja akiwa anaitaka iyo nyumba kwa sh milion 245 (maana nyumba ipo eneo zuri sana).
Dalali alimleta yule mteja na kuikagua nyumba nzima na eneo na uyo mteja aliahidi kuja kufanya malipo baada ya siku 3, uwezi amini nilifurahi sana sana nilikuwa na bajeti yangu ya laki 2 na elfu 70 kwa furaha nzima iyo ela niliitumia kwa kufurahia maana nilijua kabisa nimesha kula maisha. Baada ya siku 3 kweli yule mnunuzi alikuja na kufanya malipo na kukamilisha kila kitu,
Ndugu zangu nashindwa ata kuandika vizuri, baba baada ya kupokea pesa ataki ata kunishirikisha kwa chochote, hajanipa ata sent kumi yake kwenye iyo ela, baada ya siku mbili kupita mzee akiwa kimya ikabidi nimuambie baba vipi kuhusu ela ya mauzo ya nyumba unioni mwanao na mimi nikaangalie maisha yangu mbele ya safari, baba amenijibu tu kwa wepesi kabisa eti "SAWA NENDA KAANGALIE MAISHA TU, NAKUTAKIA KILA LENYE HERI" nikamuambia baba naendaje kuangalia maisha wakati ujanipa chochote, akaniambia kwani nadai nini kwake, kwa kweli ni kauli zilizo nivunja sana moyo na kunikatisha kabisa tamaa ya kuishi.
Noambeni ushauri wenu ili fate atua za kisheria mzee aweze kunipa na mimi upande wa maali kama mtoto wake wa kumzaa, maana nina week sasaivi sina furaha kabisa na aya maisha, naombeni sana ushauri wa haraka, maana baba siwezi kumtazama ata usoni ananipa sana hasira.
Matumaini yangu nitapata ushauri mzuri na wakufanya nipate aki yangu.
Ushauri wangu mimi nakuita bwege, kwanza miaka arobaini kujiita kijana unayesubiri kugawiwa hela babako.Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni mtoto wa tatu kwenye familia.
Baba yangu alijenga DAR ES SALAAM miaka mingi iliyo pita, sasa mwezi uliopita 12/2021 alikuja na mtazamo wake na kutueleza sisi watoto wake kuwa anataka kuuza nyumba yake hii na aende akaamie kijijini na kuchagua maisha yake yote ataishi uko.
Upande wangu nilipokea ombi lake ilo kwa furaha sana maana niliona kabisa kuwa baba akiuza ntapata pesa na mimi ya kuanzia maisha, baada ya kusema ivyo nikaingia kwenye miangaiko ya kutafuta mteja na dalali ambaye atasaidia iyo nyumba iuzwe haraka, mungu si Athumani ndani ya week mbili tu akatokea mteja akiwa anaitaka iyo nyumba kwa sh milion 245 (maana nyumba ipo eneo zuri sana).
Dalali alimleta yule mteja na kuikagua nyumba nzima na eneo na uyo mteja aliahidi kuja kufanya malipo baada ya siku 3, uwezi amini nilifurahi sana sana nilikuwa na bajeti yangu ya laki 2 na elfu 70 kwa furaha nzima iyo ela niliitumia kwa kufurahia maana nilijua kabisa nimesha kula maisha. Baada ya siku 3 kweli yule mnunuzi alikuja na kufanya malipo na kukamilisha kila kitu,
Ndugu zangu nashindwa ata kuandika vizuri, baba baada ya kupokea pesa ataki ata kunishirikisha kwa chochote, hajanipa ata sent kumi yake kwenye iyo ela, baada ya siku mbili kupita mzee akiwa kimya ikabidi nimuambie baba vipi kuhusu ela ya mauzo ya nyumba unioni mwanao na mimi nikaangalie maisha yangu mbele ya safari, baba amenijibu tu kwa wepesi kabisa eti "SAWA NENDA KAANGALIE MAISHA TU, NAKUTAKIA KILA LENYE HERI" nikamuambia baba naendaje kuangalia maisha wakati ujanipa chochote, akaniambia kwani nadai nini kwake, kwa kweli ni kauli zilizo nivunja sana moyo na kunikatisha kabisa tamaa ya kuishi.
Noambeni ushauri wenu ili fate atua za kisheria mzee aweze kunipa na mimi upande wa maali kama mtoto wake wa kumzaa, maana nina week sasaivi sina furaha kabisa na aya maisha, naombeni sana ushauri wa haraka, maana baba siwezi kumtazama ata usoni ananipa sana hasira.
Matumaini yangu nitapata ushauri mzuri na wakufanya nipate aki yangu.
Bora kawahi kuiuza, angezubaa nyumba ingepigwa bei akiwa ndaniBaba ako kakuona huna akili.. [emoji41] haiwezakn umri huo bado unatea tu kitaa hueleweki na unatka mapato yake ukalumbue
Hata mimi nahisi, labda tuongeze maji au sukariChai ina tangawizi nyingi sana
Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni mtoto wa tatu kwenye familia.
Baba yangu alijenga DAR ES SALAAM miaka mingi iliyo pita, sasa mwezi uliopita 12/2021 alikuja na mtazamo wake na kutueleza sisi watoto wake kuwa anataka kuuza nyumba yake hii na aende akaamie kijijini na kuchagua maisha yake yote ataishi uko.
Upande wangu nilipokea ombi lake ilo kwa furaha sana maana niliona kabisa kuwa baba akiuza ntapata pesa na mimi ya kuanzia maisha, baada ya kusema ivyo nikaingia kwenye miangaiko ya kutafuta mteja na dalali ambaye atasaidia iyo nyumba iuzwe haraka, mungu si Athumani ndani ya week mbili tu akatokea mteja akiwa anaitaka iyo nyumba kwa sh milion 245 (maana nyumba ipo eneo zuri sana).
Dalali alimleta yule mteja na kuikagua nyumba nzima na eneo na uyo mteja aliahidi kuja kufanya malipo baada ya siku 3, uwezi amini nilifurahi sana sana nilikuwa na bajeti yangu ya laki 2 na elfu 70 kwa furaha nzima iyo ela niliitumia kwa kufurahia maana nilijua kabisa nimesha kula maisha. Baada ya siku 3 kweli yule mnunuzi alikuja na kufanya malipo na kukamilisha kila kitu,
Ndugu zangu nashindwa ata kuandika vizuri, baba baada ya kupokea pesa ataki ata kunishirikisha kwa chochote, hajanipa ata sent kumi yake kwenye iyo ela, baada ya siku mbili kupita mzee akiwa kimya ikabidi nimuambie baba vipi kuhusu ela ya mauzo ya nyumba unioni mwanao na mimi nikaangalie maisha yangu mbele ya safari, baba amenijibu tu kwa wepesi kabisa eti "SAWA NENDA KAANGALIE MAISHA TU, NAKUTAKIA KILA LENYE HERI" nikamuambia baba naendaje kuangalia maisha wakati ujanipa chochote, akaniambia kwani nadai nini kwake, kwa kweli ni kauli zilizo nivunja sana moyo na kunikatisha kabisa tamaa ya kuishi.
Noambeni ushauri wenu ili fate atua za kisheria mzee aweze kunipa na mimi upande wa maali kama mtoto wake wa kumzaa, maana nina week sasaivi sina furaha kabisa na aya maisha, naombeni sana ushauri wa haraka, maana baba siwezi kumtazama ata usoni ananipa sana hasira.
Matumaini yangu nitapata ushauri mzuri na wakufanya nipate aki yangu.
This dad is just plain evil....and he ahould be dealt with accordingly. Irresponsible or not, 41 yrs young or old, thrird born or last born is irrelevant. Huyu baba ni muhuni sasa kijanaa anatakiwa ampeleke mbele za haki mapema iwezekanavyo. Society doesnt need such kind of fathers.41 years mkuu na bado unamtetea. Tena mtoto wa 3. je huyo baba atakuwa na umri gani. Mbaya zaidi Kasema alikuwa na hela kaenda burudikia. Do you see any responsible adult kwenye haya maelezo.
Well akiuwawa huyo mzee atakuwa amejitakia mwenyewe kwa roho mbaya yake.Chunga sana ushauri wako rafiki! Usifanye mzaha kwenye Mambo serious nakusihi! Utamponza mzee wa watu! Mtoa mada hayupo sawa kiakili na hili linajidhihirisha wazi kwa mada yake na bado unampitishia wazo la kuua huuoni Kama kuna hatari hapo?