fortis fortuna adiuvat
Senior Member
- Jan 20, 2016
- 154
- 278
daah huu uzi naomuna kama bro wangu huyu hapa inasikitisha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sheria inasemaje?.Ukishafikia miaka 18, inatakiwa ujitegemee, Mzee wako alishakuzaa,akakulea hadi umekuwa mtu mzima; Hiyo nyumba alitafuta baba yako,na wewe Tafuta ya kwako uiuze kwa bei nzuri.Kuhusu kukugawia pesa ni matakwa yake kukupa au kukunyima, maana wewe ni mtu mzima tayari.Wewe sio Mwanafunzi Kwamba unasoma.Mwache Mzee ale Pesa yake bila presha.Ni mali ya baba yangu ila mimi ni mtoto wa wake kabisa kabisa wa kumzaa
Hiyo sio hojanyumba ni yetu, maana nimezaliwa hapo hapo
Acha ujinga wewe,Sasa Simba inaingiaje hapa??.Skia embu niambie kwanza unashabikia timu gani, mwanachama wa chama gani. Kama ni Simba alafu chama lako ni ccm naomba uanze safari kuelekea Dodoma{Mirembe} sasahivi
Hahahahaa we fala umenifanya nicheke sana. Hii dunia ina vituko sana.kijana una umri wa miaka 41? daah sisiem imetumaliza
kijana una umri wa miaka 41? daah sisiem imetumaliza
Ni mali ya baba yangu ila mimi ni mtoto wa wake kabisa kabisa wa kumzaa
Wewe na huyo baba yako wote hamjielewi. Anakuachaje muda wote mpaka unazeekea nyumbani
Muombe na m'bembeleze babako akukatie, kwa umri wako wa miaka 41 huna haki yoyote maana ameamua kuuza mali yake. Kama ungekuwa na umri wa chini ya miaka 18 ungeweza kwenda kwenye vyombo vya kisheria maana ni umri tegemezi.Habari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni mtoto wa tatu kwenye familia.
Baba yangu alijenga DAR ES SALAAM miaka mingi iliyo pita, sasa mwezi uliopita 12/2021 alikuja na mtazamo wake na kutueleza sisi watoto wake kuwa anataka kuuza nyumba yake hii na aende akaamie kijijini na kuchagua maisha yake yote ataishi uko.
Upande wangu nilipokea ombi lake ilo kwa furaha sana maana niliona kabisa kuwa baba akiuza ntapata pesa na mimi ya kuanzia maisha, baada ya kusema ivyo nikaingia kwenye miangaiko ya kutafuta mteja na dalali ambaye atasaidia iyo nyumba iuzwe haraka, mungu si Athumani ndani ya week mbili tu akatokea mteja akiwa anaitaka iyo nyumba kwa sh milion 245 (maana nyumba ipo eneo zuri sana).
Dalali alimleta yule mteja na kuikagua nyumba nzima na eneo na uyo mteja aliahidi kuja kufanya malipo baada ya siku 3, uwezi amini nilifurahi sana sana nilikuwa na bajeti yangu ya laki 2 na elfu 70 kwa furaha nzima iyo ela niliitumia kwa kufurahia maana nilijua kabisa nimesha kula maisha. Baada ya siku 3 kweli yule mnunuzi alikuja na kufanya malipo na kukamilisha kila kitu,
Ndugu zangu nashindwa ata kuandika vizuri, baba baada ya kupokea pesa ataki ata kunishirikisha kwa chochote, hajanipa ata sent kumi yake kwenye iyo ela, baada ya siku mbili kupita mzee akiwa kimya ikabidi nimuambie baba vipi kuhusu ela ya mauzo ya nyumba unioni mwanao na mimi nikaangalie maisha yangu mbele ya safari, baba amenijibu tu kwa wepesi kabisa eti "SAWA NENDA KAANGALIE MAISHA TU, NAKUTAKIA KILA LENYE HERI" nikamuambia baba naendaje kuangalia maisha wakati ujanipa chochote, akaniambia kwani nadai nini kwake, kwa kweli ni kauli zilizo nivunja sana moyo na kunikatisha kabisa tamaa ya kuishi.
Noambeni ushauri wenu ili fate atua za kisheria mzee aweze kunipa na mimi upande wa maali kama mtoto wake wa kumzaa, maana nina week sasaivi sina furaha kabisa na aya maisha, naombeni sana ushauri wa haraka, maana baba siwezi kumtazama ata usoni ananipa sana hasira.
Matumaini yangu nitapata ushauri mzuri na wakufanya nipate aki yangu.
Wakati umekua na umemaliza shule kama ulisoma, ulisaidia nini kwenye ukarabati wanyumba au je uliweza kutanua na kuongeza chumba chako?nyumba ni yetu, maana nimezaliwa hapo hapo
Sawa lakini mzeya anazingua awape hao watoto watatu 45milon wakafue mbele yeye na ,ile 200 akatulie shamba anapotaka
Mteke tu huyo Mzee akupe chako q Mungu atakusameheHabari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni mtoto wa tatu kwenye familia.
Baba yangu alijenga DAR ES SALAAM miaka mingi iliyo pita, sasa mwezi uliopita 12/2021 alikuja na mtazamo wake na kutueleza sisi watoto wake kuwa anataka kuuza nyumba yake hii na aende akaamie kijijini na kuchagua maisha yake yote ataishi uko.
Upande wangu nilipokea ombi lake ilo kwa furaha sana maana niliona kabisa kuwa baba akiuza ntapata pesa na mimi ya kuanzia maisha, baada ya kusema ivyo nikaingia kwenye miangaiko ya kutafuta mteja na dalali ambaye atasaidia iyo nyumba iuzwe haraka, mungu si Athumani ndani ya week mbili tu akatokea mteja akiwa anaitaka iyo nyumba kwa sh milion 245 (maana nyumba ipo eneo zuri sana).
Dalali alimleta yule mteja na kuikagua nyumba nzima na eneo na uyo mteja aliahidi kuja kufanya malipo baada ya siku 3, uwezi amini nilifurahi sana sana nilikuwa na bajeti yangu ya laki 2 na elfu 70 kwa furaha nzima iyo ela niliitumia kwa kufurahia maana nilijua kabisa nimesha kula maisha. Baada ya siku 3 kweli yule mnunuzi alikuja na kufanya malipo na kukamilisha kila kitu,
Ndugu zangu nashindwa ata kuandika vizuri, baba baada ya kupokea pesa ataki ata kunishirikisha kwa chochote, hajanipa ata sent kumi yake kwenye iyo ela, baada ya siku mbili kupita mzee akiwa kimya ikabidi nimuambie baba vipi kuhusu ela ya mauzo ya nyumba unioni mwanao na mimi nikaangalie maisha yangu mbele ya safari, baba amenijibu tu kwa wepesi kabisa eti "SAWA NENDA KAANGALIE MAISHA TU, NAKUTAKIA KILA LENYE HERI" nikamuambia baba naendaje kuangalia maisha wakati ujanipa chochote, akaniambia kwani nadai nini kwake, kwa kweli ni kauli zilizo nivunja sana moyo na kunikatisha kabisa tamaa ya kuishi.
Noambeni ushauri wenu ili fate atua za kisheria mzee aweze kunipa na mimi upande wa maali kama mtoto wake wa kumzaa, maana nina week sasaivi sina furaha kabisa na aya maisha, naombeni sana ushauri wa haraka, maana baba siwezi kumtazama ata usoni ananipa sana hasira.
Matumaini yangu nitapata ushauri mzuri na wakufanya nipate aki yangu.
Ujinga wako ungekuwa hata 80% ishirin zilizobaki zingekusaidia ukaona hata aibu kuleta hapa huo ujinga wako, miaka 40 unalilia kwa baba ni ujinga wa 100%, baba alikupa jibu sahih kabisa kukutakia kila lakheri safar yako ya maisha ila kwa kuwa hamnazo kichwan ndo sabb hukumwelewa. Hiyo nyumba babaako ulimsaidia kujenga? Au je hata yeye kwan alisaidiw chochote hata kidogo na wazaz wake ndipo akajenga hiyo nyumba? Matahira km wew hii nchi ndo ikitokea kupewa uongozi ndo km akina ndugai anashindwa kuidhibiti serikal akiwa bungeni badala yake anenda kuongea mitaan eti serikal imezid kukopa hali ya kuwa ye ndo kiongozi wa kudhibit serikali ktk matumiz na mapato, juha wewHabari zenu ndugu zangu, naombeni ushauri wenu kwenye ili naamini uku jukwaani kuna wenye ushauri bora zaidi na wenye experince na mambo mbalimbali, mimi ni kijana wa umri wa miaka 41, kwetu tumezaliwa 4 ila kwa sasa tumebaki 3 baada ya mmoja bahati mbaya kufariki miaka 6 iliyo pita, mimi ni mtoto wa tatu kwenye familia.