Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

Kwa umri wa miaka 41? Mbona huyo ni mtu wa umri umeshaenda tayari? Mtoto anayestahili kulelewa ni yule ambaye ni under 18yrs. au yule aliyeko masomoni/Shule/Chuo au ni mlemavu kwa namna moja au nyengine.
Mara nyingi Wazazi huwajua vizuri watoto wao - yupi ana maono (Vision) na ni yupi yupo-yupo tu. Angejiandaa vizuri kwenda kuongea na kumshawishi baba yake kwa maneno(Busara,Hekima na Adabu) na vitendo (awe na kitu cha kuonesha e.g. ka-mradi fulani au shughuli inayohitaji msaada wa kifedha) na sio kuweka madai ya mgao wa fedha. Je, kwa kumtoa Roho baba yake ndo atakuwa amepata anachotafuta? Yaani mtu wa umri wa miaka 41 kweli kabisa bado unakula ugali wa shikamoo? Hapana aisee,ni Aibu, Aibu tupu.
In my opinion the guy is a bogus.
 
Kwani Unamdai Shingapi Mzee wako baada ya Kuuza nyumba aliyojenga kwa Jasho lake?
 
Hivi upo serious?au umetaka tuliokula hela za ada angalau tunyooshe mbavu mkuu?
Unasema una 41yrs alafu ndo unataka utoke kwenu ukaangalie maisha?? Ina maana hujaoa ?huna watoto?? Vp unataka kuanza maisha na 41?? Yy babaako alianza maisha na umri gani?? Wewe na babaako nawaona mna shida kidogo kuna maswali hapa ili tupate jibu ilibidi tumwulize mamaako
All in all pole sana nikushauri mfate baba kijijini ukaendelee kukua umri huo hamna utachoweza kufanya kikasonga maana huna akili🙏🙏
 
Mtu kala 270000 kwa siku tatu

Je atatumia muda gani kula milioni 150?


Mi naona hapa mzee achukue milionb 2 apeleke polisi hili zezeta likakae hata mwaka
 
Sio kwamba huyo Mzee akutaka kumpa ila jamaa ana haraka siku mbili tu baada ya mauzo wakati Mzee anaendelea kupanga mipango yake vizuri yeye anadai pesa?
 
Wewe una miaka 41,na unategemea vya baba? Pole Sana.TZ tuna Safari ndefu.
 
😁😁😁😁
 
Pia inawezekana wewe ni mfuja Mali, upo upo tu. Huna mbele wala nyuma na miaka yote hiyo 41. Kwa hali ya kawaida miaka hiyo ulitakiwa uwe na mji wako na nyumba yako au apartment yako na Maisha yako.


Naipenda JF😁😁😁😁
 
Kwa Kweli kuna hatari kwa Wazazi wanaporuhusu matoto kukulia nyumbani

Kuna umuhimu wa wazazi Kuwafukuza nyumbani watoto ambao wamefikia umri wa kujitegemea halafu wapo wapo tu nyumbani...

Hatari hii ni kubwa hasa kwa Watoto wenye akili za kipimbi na kipumbavu kama huyu mtoa mada, mtoto kama huyu hashindwi kuplot hata kutoa uhai wa mzazi wake!!!

Yule wa arusha alishauriwa na rafiki zake wamkatekate mama yake vipande vipande ili waweze kumdubukiza kwenye shimo la Choo!

Wewe alitakiwa mzee akutimue nyumbani mapema kabisa miaka 11 nyuma kabla hata ya kuuza hiyo nyumba

Kama mzazi usikae na Mtu mzima nyumbani kwausalama wako na maisha yako , Ona sasa mtoto anahasira na baba yake tena ya mali

“ kijana ZEE” hili linahasira na baba yake na linaona mali za babake ni zake—— Ujinga kabisa huu

Eti nyumba yetu, pumbavu kabisa
Eti mimi mwanae kabisa kabisa wa kwa kumzaa Nyoko wewe

Huna akili kabisa wewe na hata rafiki zako ni wapumbavu wote Mshenzi wewe

Ole wako tusikie mzee aliyeuza nyumba amedhurika tutajua ni wewe Mbulula wewe!

Babu yangu aliwatimua Watoto wake ikiwemo baba yangu mzazi maskani kwake...tena kwa fimbo na ilikua Usiku... Babu akiwa tajiri wa Ng’ombe Morogoro ndani ndani huko!

Mimi mzee alikata mahitaji yanguu ya kifedha mapema sana na Hii ilinifanya nione umuhimu wa kuwa na changu mapema kabisa
 
Kwa umri wa miaka 41 halafu wewe ni mtoto wa mwisho wa huyo mzee inaonekana baba ana miaka zaidi ya 70
Acha ujinga we sio kijana, we ni mtu mzima kbsa,acha baba Yako ale jasho la ujana wake, nenda katafute mali zako
Ninyi ndo mnaua wazazi sababu ya hela
 
Huyu Mzee anahitaji apewe ulinzi.

Mtoa mada ni zile aina za Watu ambao huwatoa roho wazazi wao ili warithi Mali..
 
Nyie watoto ndo mnasababisha tuuze hata mali zetu tumeshaona hamtaweza hata kuzitunza.

Mzee kauza chake acha hela yake akitaka akahonge nyie elimu mmepewa kuitumia hamuwezi mmekaa tu.

Shit
 
Kwakuwa baba yako acha tu, Ila angekupa kiasi Cha kazi ya udalali, kitaa watu wanapewa Cha udalali, na wengine wanapewa na wazazi wao wakistaafu hata kuuza mijengo, mi mzee wangu alistaafu alitutoa kiasi wote, na kuna nyumba alinunua na aliuza alitutoa, bila ya kuomba Wala nini, inatengemea roho ya mtu na makabila nayo.
 
Dawa ya moto ni moto na wewe mkomeshe uza Tecno yako ilio itumia kùpost hapa na wewe usimpe hata kumi ya mauzo maana cm si yako anajua ilivyo isotea kuipata?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…