Miss_Mariaah
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 2,176
- 4,979
Uwakala wa benki na Mobile money tu,Good evening wadau...naombeni mawazo yenu Na experience Ni biashara Gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa million 20... napendelea Ile biashara ambayo Ni stress free Na ambayo inaweza kusimama vizur bila direct involvement kwenye biashara
Una experience nayo? Ili uniambie zaidiUwakala wa benki na Mobile money tu,
Wataka ni kuambie nini zaidi mkuu wakati hiyo biashara inajieleza yenyewe.........Una experience nayo? Ili uniambie zaidi
Ya mazao mkuu hutojuta!Good evening wadau...naombeni mawazo yenu Na experience Ni biashara Gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa million 20... napendelea Ile biashara ambayo Ni stress free Na ambayo inaweza kusimama vizur bila direct involvement kwenye biashara
Hii zitakua Na control nayo Sababu Ya kaziiYa mazao mkuu hutojuta!
Kama mafuta ya alizeti na uweke kwenye vifungashio, unazihesabu chupa, au weka godown mazao wanapoanza kulima bei ya mazao Huwa juu, unauza kwa faida.Hii zitakua Na control nayo Sababu Ya kazii
Au awe anabeti. Anatengeneza mkeka wa kesho Leo usiku, asubuhi anaingia kazini. Jioni anasubiri maokoto huku akiandaa mkeka mwingine.kila biashara ina changamoto zake , sasa unataka biashara ambayo itasimama yenyewe bila direct involvement hapo pagumu utaishia kuibiwa tuu kwenye biashara kidogo kidogo mpaka mtaji unakata kama huwezi kuanzia biashara ambayo utaisimamia vizuri basi kaweke pesa zako UTT au fungua online shop wewe hapo utaariji mtu wa delivery na customer care tuu ambaye hatahusika na biashara yako direct kwa hiyo hawezi kukuibia
PharmacyGood evening wadau...naombeni mawazo yenu Na experience Ni biashara Gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa million 20... napendelea Ile biashara ambayo Ni stress free Na ambayo inaweza kusimama vizur bila direct involvement kwenye biashara
Hakuna stress free businessGood evening wadau,
Naombeni mawazo yenu na experience ni biashara gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa million 20.
Napendelea Ile biashara ambayo ni stress free na ambayo inaweza kusimama vizuri bila direct involvement kwenye biashara
Hasa nafaka sio mali kuozaYa mazao mkuu hutojuta!