Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

Fungua genge uza mboga mboga na matunda

Unauliza maswali ya kijinga kwa milion 20 ni biashara nying sana unaweza fanya ila pia km umeweza kupata milion20 unakosaje mawazo ya biashara au iyo million20 ni pesa ya urithi au umeshinda biko

Kuna maswali na ushauri wingne mnaomba ila mnaonekana ni wapumbavu tena wapumbavu sana

Iv kwel kuna biashara ambayo haina strees mi sjawai ona iyo kla biashara ina stress kla biashara ina changamoto zake ni idadi na wing wa changamoto na stress ndo utofautiana ila kla biashara ina stress na inachangamoto
Mtu ambaye hajawah fanya kabisa biashara anaweza waza kwamba kuna biashara ambazo hazina stress, mimi mpaka sasa sijaona!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Good evening wadau,

Naombeni mawazo yenu na experience ni biashara gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa milioni 20.

Napendelea Ile biashara ambayo ni stress free na ambayo inaweza kusimama vizuri bila direct involvement kwenye biashara.
Uko mkoa upi
 
sasa kauliza afanye biashara gani ambayo ata fanya huku yupo kazini 😅😅
Hiyo ni biashara au ni michezo yakubashiri mkuu yaani ni sehemu ya kutumia pesa kama kujiburudisha sema sie waswahili tushakariri ni biashara ya kutuingizia kipato 🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo ni biashara au ni michezo yakubashiri mkuu yaani ni sehemu ya kutumia pesa kama kujiburudisha sema sie waswahili tushakariri ni biashara ya kutuingizia kipato 🤣🤣🤣🤣
ulikuwa ni utani boss kuna mtu alimwambia kama hawezi simamia biashara basi awe anasuka tuu mikeka na mimi nika reply kwa utani au awe anacheza aviator
 
Kama mafuta ya alizeti na uweke kwenye vifungashio, unazihesabu chupa, au weka godown mazao wanapoanza kulima bei ya mazao Huwa juu, unauza kwa faida.
Kilimo na biashara ya mazao ni sekta ambayo wengi wameipa mgongo.

Nunua mazao wakati wa mavuno yatunze utauza kwa bei nzuri sana yenya faida nzuri miezi ya mbeleni baad ya mavuno

Mfano rahisi tu: Gunia la mahindi sasa hivi msimu huu wa mavuno baadhi ya maeneo ni 60k mpaka 90k hapa Tanzania

Kufikia mwezi wa tisa sehemu zote Tanzania wanakuwa wamemaliza mavuno

Piga picha kuanzia mwezi wa January na kuendelea gunia la mahindi litakuwa shilingi ngapi kama ulinunua kwa 60k wakati huu wa mavuno

Storage ndio mpango mzima.
 
Back
Top Bottom