Kilimo na biashara ya mazao ni sekta ambayo wengi wameipa mgongo.
Nunua mazao wakati wa mavuno yatunze utauza kwa bei nzuri sana yenya faida nzuri miezi ya mbeleni baad ya mavuno
Mfano rahisi tu: Gunia la mahindi sasa hivi msimu huu wa mavuno baadhi ya maeneo ni 60k mpaka 90k hapa Tanzania
Kufikia mwezi wa tisa sehemu zote Tanzania wanakuwa wamemaliza mavuno
Piga picha kuanzia mwezi wa January na kuendelea gunia la mahindi litakuwa shilingi ngapi kama ulinunua kwa 60k wakati huu wa mavuno
Storage ndio mpango mzima.