j p morgan
Member
- Jan 17, 2023
- 23
- 86
Kwa milioni 20 ni ela nzuri zaidi katika biashara ya mazao lakini msimu wa mavuno kwa mikoa mingi umeshapita. Unaweza kutafuta eneo zuri lenye tija na kuanza biashara ya matofali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni mbinu ya kucheza na akili ya mnunuzi wa tatuKwanin niandikishiane na ndugu
Milioni 20 ukiweka UTT kila mwezi unalamba faida laki 2 mpaka laki 2 na ishirini, kwa mwaka anakuwa na faida ya milioni 2 na chenji kadhaa na bado mtaji wako wa milioni 20 uko pale pale, nafikiri ni salama zaidi kuweka huko wakati akiendelea kujitafuta.UTT mbona ndo ujinga kabisa milioni izalishe 100,000 kwa mwaka
Hii ndio biashara isiyokuwa na Stress? We jamaa acha kumdanganya. Hakuna Biashara isiyokuwa na stress. Million 20 ni pesa nzuri for a start, nadhani kwanza afanye research.Ya mazao mkuu hutojuta!
Ni mpumbavu tu ndio atataka biashara isio na stress na ni bwege tu ndio atataka biashara inayompa uhakika wa kusimama wakati yeye hataki kujihusisha nayo. Asee muda mwingine mnauliza maswali kama mmelishwa mavi. Kwa nchi zetu hizi za kifakeni na ww unataka kuendelea kuwa fakeni asee badilika. Kwa swali hilo sioni uwezekano wa ww kupata 20m kihalali labda uuze nyama au uibe maana hata za urithi sizani unarithishwa 20m na huna akiliGood evening wadau,
Naombeni mawazo yenu na experience ni biashara gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20.
Napendelea ile biashara ambayo ni stress free, na ambayo inaweza kusimama vizuri bila direct involvement kwenye biashara.
Ni mpumbavu tu ndio atataka biashara isio na stress na ni bwege tu ndio atataka biashara inayompa uhakika wa kusimama wakati yeye hataki kujihusisha nayo. Asee muda mwingine mnauliza maswali kama mmelishwa mavi. Kwa nchi zetu hizi za kifakeni na ww unataka kuendelea kuwa fakeni asee badilika. Kwa swali hilo sioni uwezekano wa ww kupata 20m kihalali labda uuze nyama au uibe maana hata za urithi sizani unarithishwa 20m na huna akipol
Pole sana najua sio kosa lakoNi mpumbavu tu ndio atataka biashara isio na stress na ni bwege tu ndio atataka biashara inayompa uhakika wa kusimama wakati yeye hataki kujihusisha nayo. Asee muda mwingine mnauliza maswali kama mmelishwa mavi. Kwa nchi zetu hizi za kifakeni na ww unataka kuendelea kuwa fakeni asee badilika. Kwa swali hilo sioni uwezekano wa ww kupata 20m kihalali labda uuze nyama au uibe maana hata za urithi sizani unarithishwa 20m na huna akili
We jamaa unajielewa kweli, Yani umetoka kusema UTT ni ujinga halafu unamshauri aweke hela zikae tu benki. Si Bora aziweke UTT hiyo 20m anachukua laki mbili kwa mwezi, na akiwa mvumilivu akiiacha ifanye compounding, ndani ya miaka mitano na ushee, anakuwa na 40m. Faida ya 20m in 5yrs huo si sawa na mkopo watu wanachukua benki na wanateseka kulipa kupitia mishahara . Akiweka benki hela inakaa inaliwa na inflation, anazidi kula hasara.Biashara kama haupo bora hizo hela uziache benki
Sasa ongeza juhudi bro.....25M binafsi natengeneza faida ya 4.5M+ monthly na sio kwamba naongea kufurahisha ila ndo kazi ninayofanyaSasa mkuu Mimi sijatumia nguvu yoyote. It's just passive income. Biashara ni kipaji bro
Unadhani Kila mtu ana muda, mazingira sawa na wewe. Mtu kaajiriwa ndichi huko na bado kazini anatoka saa 11 jioni. Ila ndo hivyo anayo hiyo 20m , aiweke chini ya godoro?Sasa ongeza juhudi bro.....25M binafsi natengeneza faida ya 4.5M+ monthly na sio kwamba naongea kufurahisha ila ndo kazi ninayofanya
Mfuko gani UTT utanipa return ya laki mbili Kila mwezi ni bond au liquid fund..alafu naomba nifahamishe hivi bond fund return yake hua ni fixed 14 percentWe jamaa unajielewa kweli, Yani umetoka kusema UTT ni ujinga halafu unamshauri aweke hela zikae tu benki. Si Bora aziweke UTT hiyo 20m anachukua laki mbili kwa mwezi, na akiwa mvumilivu akiiacha ifanye compounding, ndani ya miaka mitano na ushee, anakuwa na 40m. Faida ya 20m in 5yrs huo si sawa na mkopo watu wanachukua benki na wanateseka kulipa kupitia mishahara . Akiweka benki hela inakaa inaliwa na inflation, anazidi kula hasara.
Biashara gani hiyo unafanya inakupa hiyo faida ya 4.5MSasa ongeza juhudi bro.....25M binafsi natengeneza faida ya 4.5M+ monthly na sio kwamba naongea kufurahisha ila ndo kazi ninayofanya
Unadhani Kila mtu ana muda, mazingira sawa na wewe. Mtu kaajiriwa ndichi huko na bado kazini anatoka saa 11 jioni. Ila ndo hivyo anayo hiyo 20m , aiweke chini ya godoroahsa
Nasikitika kukwambia Biashara ambayo ni stress free haipo au labda nunua Kijani Bond ya CRDBGood evening wadau,
Naombeni mawazo yenu na experience ni biashara gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20.
Napendelea ile biashara ambayo ni stress free, na ambayo inaweza kusimama vizuri bila direct involvement kwenye biashara.
uko wrong brotherNilidhani uko serious...kumbe ni mtu wa marketing wa utt!! Nice copywriting though
Nasikitika kukwambia Biashara ambayo ni stress free haipo au labda nunua Kijani Bond ya return
Return yake ni asilimia ngapi Kwa mwakaNasikitika kukwambia Biashara ambayo ni stress free haipo au labda nunua Kijani Bond ya CRDB
10.25% inapewa mara 2 Kwa MwakaReturn yake ni asilimia ngapi Kwa mwaka
Return ndogo1
10.25% inapewa mara 2 Kwa Mwaka