The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Tuanzie hapa kwanga hiyo hela kwanza umeipata wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku moja nitanunua horse n semitrailer...na nitakuwa napush mwenyewe....Kuna mtu alinunua DCM mil 15 lakini yeye mwenyewe alikuwa anakaa mlangoni kukusanya nauli..nje ya jiji.....kwa miaka 5 mfululizo leo hiii kafanya maendeleo makubwa sana.....HE HAS MONEY....
Kabla hujapata Hilo dili akili Yako siku zote inajiwazia na kujiona wapi?Na kama umepata fedha kwa ghafla ..yan umepata dili ukalifanya chap
Okay unahitaji pato la mwezi liwe kiasi gani
na mimi nimejiingiza kwenye huo mfuko liquid aka ukwasi juzi kati, ngoja nisikilizie..Liquid fund
Hiyo nayo inalipa ukitoka nje...manake huku ndani vipisi mixer tandam.....mwanzoni tumia madalali....Siku moja nitanunua horse n semitrailer...na nitakuwa napush mwenyewe....
Hapo vipi?
Naweza tu
Kma Umeshawahi jarbu biashara tofauti tofauti na hazikuenda sawa,huna budi kuuliza kwa watu ili ujifunze zaidiKabla hujapata Hilo dili akili Yako siku zote inajiwazia na kujiona wapi?
Huna long term plans? au inajiwaziaga vitu vidogovidogo.
If yes, kindly continue with those deals since a new business won't favour you. Thanks
Tukubaliene tu kuwa kete zako hazipo sawa,Kma Umeshawahi jarbu biashara tofauti tofauti na hazikuenda sawa,huna budi kuuliza kwa watu ili ujifunze zaidi
Tukubaliene tu kuwa kete zako hazipo sawa,
Na uwezo wa kufikiri ni mdogo,
Na Katika kuuliza ni 50 Kwa 50 unaweza kufeli Kwa mara nyingine tena,
Za kuambiwa changanya na zako
Rejea comment yangu ya kwanza;KUULIZA SI UJINGA ,TUPUNGUZE UJUAJI
taarifa ni jambo la msingi sana na Utapata taarifa toka kwa watu..hvyo sion baya kwa mtoa mada kuuliza il kujifunza zaidi
nanukuu mahala,,'GOD GAVE US TWO EARS AND ONE MOUTH FOR A REASON'
umeiweka vizuri sasana nimekuelewa vyema.Rejea comment yangu ya kwanza;
"Business idea and plan zinaanza kabla hujapata Hela"
Business idea na plan ndio zinabeba PASSION ya kufanya kitu,
Hutokaa uwe na biashara zinazokufa Kila siku,
Waliotumia akili ndio waliofanikiwa,
Mpaka ushike hela ndio utafute Cha kufanya na hiyo Hela kwangu Mimi hiyo mtu Nampa 50 Kwa 50 ndio maana nikasema za kuambiwa changanya na zako always akili Yako inahitajika.
Kwa hayo maelezo nilivyotoa ibakie tu Mimi ni mjuaji
Peleka kwenye shareGood evening wadau,
Naombeni mawazo yenu na experience ni biashara gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa milioni 20.
Napendelea Ile biashara ambayo ni stress free na ambayo inaweza kusimama vizuri bila direct involvement kwenye biashara.
Sio jaAcheni kumpoteza jamaa wa watu eti awe aviator a.k.a mtaalamu wa kurusha ndege.
Ni Akiba Yangu MkuuTuanzie hapa kwanga hiyo hela kwanza umeipata wapi?
Au njoo tufungue duka la mbolea ,mbegu ,viatilifu na nkkk tutapoga pesa mno
Mkuu hii inaweza fanya kazi kama utaajiri mtu wa kuuza duka?Au njoo tufungue duka la mbolea ,mbegu ,viatilifu na nkkk tutapoga pesa mno
Akiba umeipataje bila kuitengeneza, lazima kuwe na source ya wewe kuipata hiyo elaSio ja
Ni Akiba Yangu Mkuu
Biashara ya stress free na ambayo inaweza kusimama vizuri bila direct involvemeny yako ni ya real estates, au kuiweka hiyo hela kwenye hati fungani, au fixed account!Good evening wadau,
Naombeni mawazo yenu na experience ni biashara gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa milioni 20.
Napendelea Ile biashara ambayo ni stress free na ambayo inaweza kusimama vizuri bila direct involvement kwenye biashara.