Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

Kila biashara ina changamoto zake , sasa unataka biashara ambayo itasimama yenyewe bila direct involvement hapo pagumu utaishia kuibiwa tuu kwenye biashara kidogo kidogo mpaka mtaji unakata kama huwezi kuanzia biashara ambayo utaisimamia vizuri basi kaweke pesa zako UTT au fungua online shop wewe hapo utaariji mtu wa delivery na customer care tuu ambaye hatahusika na biashara yako direct kwa hiyo hawezi kukuibia
UTT mbona ndo ujinga kabisa milioni izalishe 100,000 kwa mwaka
 
Mkuu kwa 20m unapata eneo la 3m huko chaka unajenga kajumba kenye mapokezi na sero hakatamaliza 10m alafu unaajiri askari 2 unawalipa 300k kila mmoja mdogo mdogo unatafuta na vibaka wawili utarudisha hela yako ndani ya muda mfupi na ww unakua mkuu wa kituo unavimba mjini. Pesa yako itarudi na faida hadi utanikumbuka
 
Good evening wadau,

Naombeni mawazo yenu na experience ni biashara gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa million 20.

Napendelea Ile biashara ambayo ni stress free na ambayo inaweza kusimama vizuri bila direct involvement kwenye biashara
Microfinance mkuu.. hapo utapiga hela, na management ni rahisi
 
Fungua genge uza mboga mboga na matunda

Unauliza maswali ya kijinga kwa milion 20 ni biashara nying sana unaweza fanya ila pia km umeweza kupata milion20 unakosaje mawazo ya biashara au iyo million20 ni pesa ya urithi au umeshinda biko

Kuna maswali na ushauri wingne mnaomba ila mnaonekana ni wapumbavu tena wapumbavu sana

Iv kwel kuna biashara ambayo haina strees mi sjawai ona iyo kla biashara ina stress kla biashara ina changamoto zake ni idadi na wing wa changamoto na stress ndo utofautiana ila kla biashara ina stress na inachangamoto
 
Back
Top Bottom