Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

Msaada: Biashara unayoweza kufanya kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20

Fungua duka maalumu la kuuza chupi, tight na sidiria kwa ajiri ya wanawake

Unaweza ukadharau ila ukwel ivyo vtu wanawake wanavitumia sana na kwa wanawake wengi hii bidhaa wananunua kila wiki kila mwezi
 
Hardware
Hasa vifaa vya umeme,Bomba,na material zingine,nitafute
 
kuna biashara unaweza ziona za hovyo ila zinalipa sana
Kuna hii ya maplastic viti,baseni, ndoo, kwa ufupi mavitu ya pastic kwa ajiri ya matumizi ya nyumban

Kuna hii ya maviatu ya pastic mayebo
Kuna hii ya vywere za kike rasta na wigi za bei nafuu

Zinalipa sana kwa sehemu nying labda sjui kwa sehemu uliyopo km
zinalipa au laah

Afu akunaga biashara ambayo ni stress free acha kuzingua bana biashara zote ni changamoto na wateja weng ni pasua kichwa huwezi kupambana na stress bas chukua pesa yako nenda serengeti na familia mkaangalie wanyama
 
Alikuja kutoa feedback kwamba amepata biashara, aje sasa atueleze ipoje ,ni ipi? Na anatushauri vp
 
Kaka nitafute Niko na shughulika na hardware
Njooo tuokote malundo
 
Back
Top Bottom