ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Tafuta yenye return kubwa ambayo Haina ChangamotoReturn ndogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tafuta yenye return kubwa ambayo Haina ChangamotoReturn ndogo
Nikutafte inbox mkuu unipe idea hiyoSasa ongeza juhudi bro.....25M binafsi natengeneza faida ya 4.5M+ monthly na sio kwamba naongea kufurahisha ila ndo kazi ninayofanya
Sasa ongeza juhudi bro.....25M binafsi natengeneza faida ya 4.5M+ monthly na sio kwamba naongea kufurahisha ila ndo kazi ninayofanya
[emoji23][emoji23][emoji23]Au awe anabeti. Anatengeneza mkeka wa kesho Leo usiku, asubuhi anaingia kazini. Jioni anasubiri maokoto huku akiandaa mkeka mwingine.
Nielekeze kuhusu hardware mkuu!Hardware njoo ddm faster
Nipe madini mkuuSasa ongeza juhudi bro.....25M binafsi natengeneza faida ya 4.5M+ monthly na sio kwamba naongea kufurahisha ila ndo kazi ninayofanya
Hii unaona ni stress free na haihitaji direct involvement?Uwakala wa benki na Mobile money tu,
Kwanza kimahesabu na uchumi wa nchi hii,kama jamaa mmoja alivyoita nchi ya za "kifaken" ukisema profit ni 4.5M na zaidi kila mwezi sio kutokana na biashara.Sasa ongeza juhudi bro.....25M binafsi natengeneza faida ya 4.5M+ monthly na sio kwamba naongea kufurahisha ila ndo kazi ninayofanya
Hii ipoje mkuu tupe shuleAnzisha real estate mkuu
Unanunua eneo then unakata viwanja na kuuza,au hata shamba.Hii ipoje mkuu tupe shule
Dah JF ina vituko sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu kwa 20m unapata eneo la 3m huko chaka unajenga kajumba kenye mapokezi na sero hakatamaliza 10m alafu unaajiri askari 2 unawalipa 300k kila mmoja mdogo mdogo unatafuta na vibaka wawili utarudisha hela yako ndani ya muda mfupi na ww unakua mkuu wa kituo unavimba mjini. Pesa yako itarudi na faida hadi utanikumbuka
Afadhali kuweka huko kama hujajiandaa kufanya biashara maana ukiweka benki inakuwa inakatwa kila mwezi na kupungua.Lakini kumbuka hela za haraka, hupotea haraka pia. Mimi niliweka 25m miaka mitatu imepita saivi inasoma 34+ sio haba
Hiyo ya uwakala ukitapeliwa laki 5 tu na wale wazee wa ile pesa tuma kwenye namba hii stress yake itakuchukua miezi 3 kukaa sawa.Hii unaona ni stress free na haihitaji direct involvement?
Hii kitu haipoNapendelea ile biashara ambayo ni stress free, na ambayo inaweza kusimama vizuri bila direct involvement kwenye biashara.
Ingekuwa milion inazalisha laki mbona wote tungekimbilia ukoUTT mbona ndo ujinga kabisa milioni izalishe 100,000 kwa mwaka
Faida hiyo na zaidi ukiamua kuwa unanunua tanzanite unakata unawauzia wenye maduka ya utalii kwa mil 25 kama ni mjuzi wa mawe 10 mil kwa mwezi unapataKwanza kimahesabu na uchumi wa nchi hii,kama jamaa mmoja alivyoita nchi ya za "kifaken" ukisema profit ni 4.5M na zaidi kila mwezi sio kutokana na biashara.
Nikiwa na maana biashara halali,iliyosajiliwa na inayoenda sawa na mamlaka. Huu unaofanya ni "mchongo" "dili za town" na majina yanayofanania hayo.
Huyu ni mtu hana experience wala hizo connection, utampoteza.
4.5M kwa mwezi bila ufafanuzi kuwa capital ni hiyo hiyo 25 M au, uliendelea ukaongeza capital mpaka ukafikia level ya 4.5M lakini tayari mtaji umeshazidi 25M....VINGINEVYO HUO NI MCHONGO,DILI ZA TOWN,BIASHARA ZA KIENYEJI😊
Na mtoa mada angeeleza kidogo 20M katoa wapi ili tujue tunaanzia wapi kushauri, isije kuwa 20M ni mkopo, au ni gawio la asset ya ukoo kuwekwa sokoni n.k
Sababu alipopatia hiyo 20M angeweza tena kupaongezea maarifa au ku duplicate kupeleka kitu hicho hicho location nyingine.
Na pia kuna dada kamkaribisha kuwa ampe equity, wala hajamuuliza maswali.
Na humu watu wameonyesha kama vile 20M ni hela ndogoo haiwezi kitu ktk biashara.
Wakati mishahara yao wengine bado inaitwa laki kama mimi tu, biashara zao wengine revenue kwa siku 15k-40k.
TUKIACHA MBWEMBWE NA UJUAJI KUANZIA JUU KWA WAFANYA MAAMUZI MPAKA KTK FAMILIA TANZANIA ITAJIKWAMUA