kuna biashara unaweza ziona za hovyo ila zinalipa sana
Kuna hii ya maplastic viti,baseni, ndoo, kwa ufupi mavitu ya pastic kwa ajiri ya matumizi ya nyumban
Kuna hii ya maviatu ya pastic mayebo
Kuna hii ya vywere za kike rasta na wigi za bei nafuu
Zinalipa sana kwa sehemu nying labda sjui kwa sehemu uliyopo km
zinalipa au laah
Afu akunaga biashara ambayo ni stress free acha kuzingua bana biashara zote ni changamoto na wateja weng ni pasua kichwa huwezi kupambana na stress bas chukua pesa yako nenda serengeti na familia mkaangalie wanyama