Msaada/confession: Sijui kupika wakuu

Hujaamua tu dear..
Mimi mpk namaliza chuo nilikuwa sijui kupika chochote zaidi ya kuboronga
Ila ule muda niliokaa home nilisema lazima nijue kupika
My late ex alikuwa anapenda sana nijue kupika yaani utakuta ananitumia recipe anasema nakupa assignment nataka upike hiyo kitu
Basi nitaingia google sijui YouTube ni kufatisha tu

Thank to my ex sasa najua kupika kila chakula ambacho ni common
Yaani mpk chapati za kusukuma tena laini sana najua
Rest In Peace my love 😍
 
Pole.
Mpishi ni mpishi tu mamy hata ukipitisha miaka 10 pasipo kuingia jikoni UJUZI haufi.

Unahitaji kufundishwa kupika nini wapishi tuanze kujipanga?
Mimi nitakufundisha kupika chai na ugali😁.
 
Bro si umecheki tu catress Mwachiluwi kavipi tukaweke kambi kwake wiki moja tu.
 

Niliamua wakati fulani nikajua lakini nimesahau tena
Hizo chapati mtu akisema anajua kuzipika namshangaa,mimi sijawahi kuzijulia na huwa nazipenda sana
 
Niliamua wakati fulani nikajua lakini nimesahau tena
Hizo chapati mtu akisema anajua kuzipika namshangaa,mimi sijawahi kuzijulia na huwa nazipenda sana
Ingia YouTube mpnz yaani unafatisha kila kitu… ukimaliza kesho yake unarudia kilekile ulichojifunza trust me utajua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…