Msaada/confession: Sijui kupika wakuu

Wali mbichi sijawahi kuupika...ni either uzidi maji,chumvi ama mafuta
Kuna ugali, ndizi, viazi...nenda taratibu utajua vyote hadi huo wali unaozidi maji au mafuta. Halafu utashangaa unakutana na ME anayejua kupika na mtakaa sawa tu. Me wa siku hizi wanajua sana kupika.
 
Ingia instagram kwa babysky
Kisha join madarasa yake anafundisha kupika
Hatua kwa hatua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…