ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kuna ugali, ndizi, viazi...nenda taratibu utajua vyote hadi huo wali unaozidi maji au mafuta. Halafu utashangaa unakutana na ME anayejua kupika na mtakaa sawa tu. Me wa siku hizi wanajua sana kupika.Wali mbichi sijawahi kuupika...ni either uzidi maji,chumvi ama mafuta