whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,904
- 9,342
Acha kumpa hela ambayo una malengo nayo.I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku tatu na kuendelea.
Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu
Nilikuwa natafuta hii commentMvizie halafu mtekenye kisawasawa...utakuja kunishukuru
Na ndo nilikuwa na type hapa "MPE HELA!"Sitaki kusikia neno mpe hela.
UhakkaIla watu na ushauri [emoji23][emoji23][emoji23]
Ongea naye mpe onyo Kali kwa hiyo tabia kua serious sio unambmbeleza weka sura ya kiume Tena na vitisho juu lasvo ukiendelea kumbembeleza atazoea na kuona boya
Siku hizi kama linapoana hv wanaume tumestukia mchongo wa kumbe tulikuwa tunatapeliwaSitaki kusikia neno mpe hela.
Vipi ukionyesha kutomjali anaponuna?I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku tatu na kuendelea.
Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu
Mpe talaka tatu ni dawaI hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku tatu na kuendelea.
Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu
Mawazo kama haya huwa yanatolewa na watoto chini ya miaka 20, ambao hawajaoa.mpige mashine kila saa, usimpe nafasi mbona ata nyooka.
nitumie namba yake ya simu kakaI hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku tatu na kuendelea.
Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu
Bila picha ni uzushiI hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku tatu na kuendelea.
Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu
Wewe wasemaMawazo kama haya huwa yanatolewa na watoto chini ya miaka 20, ambao hawajaoa.
Mt+#@mbe kila wakati kila mahali sebuleni, chumbani, jikoni, chooni, nje, bustanini, Hotelini, baharini kwenye gari. Baada ya mwezi njoo utoe mrejesho hapa.I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku tatu na kuendelea.
Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu
Uwe uanaacha vichenji mezani kama alfu tanotano hivi,uone atavichukuaI hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku tatu na kuendelea.
Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu
Nimekujibu hivyo Kwa sababu ya kauli ya kwanza ya kumshauri amuacheUmesoma mwandiko wangu wote?
Au Unanitafuta maneno mkuu?