Msaada, dawa ya mwanamke mpenda kununanuna bila sababu za msingi

I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku tatu na kuendelea.

Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu
Acha kumpa hela ambayo una malengo nayo.
 
Dawa yake ni kumpiga mashine ya kiunoni sawasawa na akiendelea kununa achana nae
 
I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku tatu na kuendelea.

Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu
Vipi ukionyesha kutomjali anaponuna?
 
Mpe talaka tatu ni dawa
 
nitumie namba yake ya simu kaka
 
Asanten wote mlionishaur na mnaoendelea kunishaur,
 
I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku tatu na kuendelea.

Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu
Bila picha ni uzushi
 
Tatizo mnakuwa na mahusiano na watoto wadogo; tafuta mwanamke mwenye miaka 35+ hutojuta, atakupa faraja na ufurahie uanaume wako.
 
I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku tatu na kuendelea.

Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu
Mt+#@mbe kila wakati kila mahali sebuleni, chumbani, jikoni, chooni, nje, bustanini, Hotelini, baharini kwenye gari. Baada ya mwezi njoo utoe mrejesho hapa.

Ni hayo tu!
 
I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku tatu na kuendelea.

Hali hii imenichosha naombeni msaada, inawezekana kulikua na kikao sikuhudhulia ambacho kilitoa solution ya hili, ni ubize tu
Uwe uanaacha vichenji mezani kama alfu tanotano hivi,uone atavichukua
 
Back
Top Bottom