Mie sina chuki nae ila najitahidi kuelewa nyimbo zake nashindwa kabisa.....kazi kweli kweli!!!!!!Dogo anajua, acha chuki binafsi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie sina chuki nae ila najitahidi kuelewa nyimbo zake nashindwa kabisa.....kazi kweli kweli!!!!!!Dogo anajua, acha chuki binafsi
Sikiliza rose muhando anatosha.Mie sina chuki nae ila najitahidi kuelewa nyimbo zake nashindwa kabisa.....kazi kweli kweli!!!!!!
[emoji23][emoji23]Sikiliza rose muhando anatosha.
Navyoona mimi ni kama umeandika hiviHuyu mwanamuziki nimetokea kumfahamu pale alipofunga ndoa na binti mrembo Irene Uwoya, sasa nikaanza kusikiliza nyimbo zake.
Wajuvi wa mambo mnisaidie huyu huwa anaimba muziki wa aina gani?
Na hualikwa kwenye matamasha ama concert/show na watu wanalipa viingilio? Au anafanya hisani (bure).
Natanguliza shukrani.
Naaam umemenisaidia kuelezea paragraph kumi kwa mstali mmoja ,ni sawa na mimi nimuhoji jamaa ''Hivi Rais wa Madagascar mbona simuelewi ?'' its simple hanihusuUkiona huelewi jambo ujue halikuhusu.
Ni ukichaa kufafanisha Celebrity wa kimataifa na mpiga kelele marioooNaaam umemenisaidia kuelezea paragraph kumi kwa mstali mmoja ,ni sawa na mimi nimuhoji jamaa ''Hivi Rais wa Madagascar mbona simuelewi ?'' its simple hanihusu
Hata Roma humuelewi basi umelogwa wewNdugu sina chuki dhidi yake, ni katika kutaka kujua wanamuziki na muziki hapa nchini Tanzania. So far nauelewa zaidi Muziki wa Diamond, Harmonize, Ally Kiba, Ben Pol ILA BADO NAJILAZIMISHA kuwaelewa JUX, VANESSA, DOGO JANJA na ROMA.