Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We subiri. Hawa hawa, watamwambia ngoja usiondoke tuone itakavyokuwa, huku na wao wanamgegeda. Badae wamwambie we rudi tu tutatafutana. Mwanamke kama huyo japo nae ana ujinga wake, lakini ukatili atakaokuwa nao, atakaejichanganya kumgonga atajutaNdugu wa marehemu ndo "hamna akili"...yaani aende mahakama kudai nini?
Nyinyi watoto wawili mnashindwa kuchangishana mkawalea?
Hivi marehemu angekufa Hana kitu mngeshauri mama WA hao watoto aende wapi kudai nini??
Ndo muone jinsi uzinzi ulivowaajabu na hayo ndo matokeo yakeSasa kwani ni kosa la watoto?
Ndo muone jinsi uzinzi ulivowaajabu na hayo ndo matokeo yakeSasa kwani ni kosa la watoto?
Ndugu wa marehemu ndo "hamna akili"...yaani aende mahakama kudai nini?
Nyinyi watoto wawili mnashindwa kuchangishana mkawalea?
Hivi marehemu angekufa Hana kitu mngeshauri mama WA hao watoto aende wapi kudai nini??
Hausiki kwenye nini
Ndugu wa Mume wachukue jukumuSasa mkuu watapata urithi gani??
Nyumba ipo moja tuu iliyojengwa na amejenga mkewe na mume wake ambaye ni marehemu basi Kuna gari moja tuu la marehemu na duka la familia mkewe na mume basi hakuna kitu kingine.
Hapo cha kufanya wanandugu wagawane watoto wakalee. Maana hata akienda mahakamani anaenda kumshataki nani?Mali ipo moja tuu nyumba ambayo marehemu alijenga na mkewe kwa pamoja
Hapa ndiyo utaona tofauti ya sheria za kidini na serikali, mtoto wa nje ana haki ya kurithi mali ya baba yake ili mradi tu ajulikane ni mtoto wa marehemu! Na siyo mpaka D.N.A kikao cha ndugu kikiridhia tu inatosha!watoto wa nje ndoa wana haki sawaa na watoto waliozaliwa ndani ya ndoa
Hao watoto wana haki ya kurithi ila mama yao ndio hatapewa kitu sana sana atakuwa msimamizi wa hiyo share yao mpaka wawe wakubwa.Habari wa jf,
Kuna msiba wa ndugu mmoja jirani hapa. Sasa siku ya msiba walikuja watoto 2 wanaumri wa miaka 5 na mama yao wanafanana sana na watoto mapacha wa kiume aliyozaa na mkewe wake ambao wanaumri wa miaka 6.
Inamaana jamaa alizaa nje watoto wamefanana na Baba yao ukiwaona ni kama watoto 2 wa ndani ya ndoa aliyezaa na mkewe.
Mkewe marehemu ajui nini cha kufanya hapo msiba ushaisha mpk sasa.
Familia wanajua hao watoto wanaitajika kutuzwa na kuishi.
Marehemu kaacha nyumba moja anayokuwa anaishi na mkewe na gari moja Toyota ICT na duka la madawa ya binadamu aliyokuwa anasimia mkewe pesa za benk sijajua.
Sasa familia imeingia na kiwewe kuhusu hawa watoto 2 wa nje maana ni watoto wa ndugu yao kabisa.
Kuna mtu mmoja amesema kama mama wa hao watoto anatafuta kusaidiwa malezi ya watoto aende ustawi wa jamii au akafungue shauri mahakamani, sasa inawezekana hio kweli.
Vipi kuhusu hapo watoto nani awapokee na ni nani awaudumie?
Mke wa marehemu yeye anakazi yake japo ni ya kawaida.
Msaada jamani.
Kawaida mirathi ikifunguliwa na wao wanapewaNdugu wa marehemu ukoo wa mume ndio wanaweza kuwasaidia hao watoto
Wanaenda kumuaga na kumsindikiza mzazi wao kwenye safari ya mwisho duniani. Why wasiende kwenye Msiba wa mzazi wao?Watoto waishi na mama yao wahudumiwe wakiwa kwa mama yao ila hii tabia kwenye msiba mnapeleka watoto ili iweje sasa
Sasa familia imeingia na kiwewe kuhusu hawa watoto 2 wa nje maana ni watoto wa ndugu yao kabisa.
Mlyambina J anakuambia hakuna bastard children ila kuna Bastard Parents...Hapa ndiyo utaona tofauti ya sheria za kidini na serikali, mtoto wa nje ana haki ya kurithi mali ya baba yake ili mradi tu ajulikane ni mtoto wa marehemu! Na siyo mpaka D.N.A kikao cha ndugu kikiridhia tu inatosha!
Lengo ni kuwalinda hawa watoto kwani hawana hatia yoyote!
Halafu mtu anakuambia sheria za kidini katunga Mungu!
Kunae brand mpya za magari na hatupeani taarifa wazee..
Sheria za dini ndio zinatambua watoto wote..... Ikiwa ndoa imefungwa hata mke azae nje mtoto yule anatambulika maana ndoa imeshafungwa.Hapa ndiyo utaona tofauti ya sheria za kidini na serikali, mtoto wa nje ana haki ya kurithi mali ya baba yake ili mradi tu ajulikane ni mtoto wa marehemu! Na siyo mpaka D.N.A kikao cha ndugu kikiridhia tu inatosha!
Lengo ni kuwalinda hawa watoto kwani hawana hatia yoyote!
Halafu mtu anakuambia sheria za kidini katunga Mungu!
Kwamba watoto wamejizaa?? Akili zako hazina akiliNashkuru kuzaliwa Muislamu
Yani in islamic perspective ni suala dogo sana hilo
Watoto wa nje ya ndoa hawarithi kitu labda baba yao awape yy mwenyewe akiwa hai
Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama