Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

Hizi ishu za kukatakata mauno huko njeee kama paka wa mjumbe ndio madhara yake haya,vimali vyenyewe vya kubangaiza tu
 
Nashkuru kuzaliwa Muislamu.

Yani in islamic perspective ni suala dogo sana hilo.

Watoto wa nje ya ndoa hawarithi kitu labda baba yao awape yy mwenyewe akiwa hai.

Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama.
Kwenye Sheria(Mahakani)za inchi hakuna mambo ya Uislam au ukristo, Sheria ya inchi hata mtoto wa inje anatambulika
 
Cha kwanza ni kujua kama marehemu aliacha wosia au la baada ya kujua zoezi linalofata ni kumteua msimamizi wa mirathi na kuwatambua warithi ambapo na hao watoto wawili watajumuishwa kama warithi, kabla msimamizi hajaenda mahakamani kupata barua za kumteua.

Mkishindwa kuwajumuisha kama warithi wa mirathi ya baba yao wakienda mahakamani mapema tuu wanapewa chao, kesi ya Judith Patrick Kyamba and others vs Tunsuume Mwimbe Mahakama kuu iliyokaa Mbeya ilishasema kuwa watoto wa nje ndoa wana haki sawaa na watoto waliozaliwa ndani ya ndoa.
Wakili msomi uko vizuri[emoji4][emoji106]
 
Nashkuru kuzaliwa Muislamu.

Yani in islamic perspective ni suala dogo sana hilo.

Watoto wa nje ya ndoa hawarithi kitu labda baba yao awape yy mwenyewe akiwa hai.

Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama.
Huo Ni uchoyo[emoji848]
 
Nashkuru kuzaliwa Muislamu.

Yani in islamic perspective ni suala dogo sana hilo.

Watoto wa nje ya ndoa hawarithi kitu labda baba yao awape yy mwenyewe akiwa hai.

Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama.
Nakazia
 
Ndugu wa marehemu ndo "hamna akili"...yaani aende mahakama kudai nini?

Nyinyi watoto wawili mnashindwa kuchangishana mkawalea?

Hivi marehemu angekufa Hana kitu mngeshauri mama WA hao watoto aende wapi kudai nini??
Uchoyo na ubinafs wa kipumbavu unawasumbua
 
Nashkuru kuzaliwa Muislamu.

Yani in islamic perspective ni suala dogo sana hilo.

Watoto wa nje ya ndoa hawarithi kitu labda baba yao awape yy mwenyewe akiwa hai.

Uzinzi haujawahi kumuacha mtu Salama.
Sawa,wazazi wamezini. Watoto ndo wawe victims wa dhambi za wazazi wao?
 
Ubinadamu pia ni muhimu, ni watoto wasiyo na hatia ya baba kuchepuka, hakuna jinsi, walelewe tu. Ikiwa ni urithi, bado ni wadogo, zaidi kitachofanyika ni kumteua msimamizi, afate taratibu na ikifika wakati sahihi watagawanya kitachokuwepo, ila in a meantime, bi mkubwa anawajibika kutoa kiasi kidogo kuhakikisha hawa wanakula na kusoma. Kumbuka hiyo mali watoto wote wana haki sawa isipokuwa huyo mke wa nje.
 
Mrejesho.
Kila kitu wamempa mke wa jamaa akae na watoto. Ni nyumba moja tuu ndo ipo
 
Ubinadamu pia ni muhimu, ni watoto wasiyo na hatia ya baba kuchepuka, hakuna jinsi, walelewe tu. Ikiwa ni urithi, bado ni wadogo, zaidi kitachofanyika ni kumteua msimamizi, afate taratibu na ikifika wakati sahihi watagawanya kitachokuwepo, ila in a meantime, bi mkubwa anawajibika kutoa kiasi kidogo kuhakikisha hawa wanakula na kusoma. Kumbuka hiyo mali watoto wote wana haki sawa isipokuwa huyo mke wa nje.
Ni nyumba moja tuu, Marehemu alijenga na mkewe wamemuachia mkewe tuu hakuna namna. Marehemu hana mali nyingi ,
Gari wamemuachia tuu
 
Ka IST wamemuachia.
Sasa nyumba utagawaje.

Maana kama mke alichangia na Baba.
Sasa utagawaje????
 
Ni nyumba moja tuu, Marehemu alijenga na mkewe wamemuachia mkewe tuu hakuna namna. Marehemu hana mali nyingi ,
Gari wamemuachia tuu
Hao watoto bado wadogo, bado umri wa kurithi, ila isipokuwa inabidi kipato hikohiko kitumike kuwalea endapo wanahitaji usaidizi.
 
Kipato kutokana na vyanzo vya fedha vya familia, au alivyoacha baba.
Hakuna biashara ya familia.
Baba kaacha nyumba tuu aliyojenga na mkewe na duka la madawa ya binadamu ila nimesikia ni la mkewe maana mkewe kasoma madawa
 
Back
Top Bottom