Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Ndugu !Hatorithi maana yake ni kwamba hapati ule mgao stahili kama wale wa ndani ya ndoa ....Wale wa ndani ya ndoa wanapata sehemu kubwa tena sawa ila yeye anapata sehemu ndogo kama special group😅😅.Ila ndugu mtoto wa nje ya ndoa hatakiwi kuitwa kwa ubini wa baba ake
Refer nabii issa kaitwaje?
Watu wanafnya tu ivo lkn hairuhusiwi
Pia ndugu angalia kusolve kesi kama hizi sio shida
Shida ni kua mumepatia katika maamuzi yenu
Kuitwa kwa ubini haina shida kwa sababu sheria inakataa mtoto aliyezaliwa nje kupewa mume moja moja kwa sababu ni swa na kuhalalisha uzinifu kama manaswar wanavyofanya kubariki ndoa.
Mwanaume anaweza kumkana mtoto wa zinaa ila wa ndani ya ndoa hata awe za zinaa haiwezekani.
Na pia mtoto aliyezaliwa ndani ya ndoa hata kama mke alichepuka kwa siri ,anajulikana kama mtoto halali ...Hapa ni kwamba ndoa inaleta uhalali kwa mtoto yeyote atakayezaliwa baada ya ndoa .