Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

Msaada: Familia inahangaika namna gani watawasadia watoto wawili wa nje wa marehemu

Ila ndugu mtoto wa nje ya ndoa hatakiwi kuitwa kwa ubini wa baba ake

Refer nabii issa kaitwaje?

Watu wanafnya tu ivo lkn hairuhusiwi

Pia ndugu angalia kusolve kesi kama hizi sio shida

Shida ni kua mumepatia katika maamuzi yenu
Ndugu !Hatorithi maana yake ni kwamba hapati ule mgao stahili kama wale wa ndani ya ndoa ....Wale wa ndani ya ndoa wanapata sehemu kubwa tena sawa ila yeye anapata sehemu ndogo kama special group😅😅.

Kuitwa kwa ubini haina shida kwa sababu sheria inakataa mtoto aliyezaliwa nje kupewa mume moja moja kwa sababu ni swa na kuhalalisha uzinifu kama manaswar wanavyofanya kubariki ndoa.

Mwanaume anaweza kumkana mtoto wa zinaa ila wa ndani ya ndoa hata awe za zinaa haiwezekani.

Na pia mtoto aliyezaliwa ndani ya ndoa hata kama mke alichepuka kwa siri ,anajulikana kama mtoto halali ...Hapa ni kwamba ndoa inaleta uhalali kwa mtoto yeyote atakayezaliwa baada ya ndoa .
 
Hakuna watoto wa nje ya ndoa mkuu kwa mujibu wa sheria za nchi. Watoto wote ni sawa
Watoto wa nje wapo hata sheria inawatambua hata biblia inawatabua kasome kisa cha sara na mume wake na mtoto wa nje ishumali nini kilitokea.
Ishumali aliondolewa kwa Baba yake hata kurithi hakupata.

MUNGU ANAESHIMU NDOA SANA.
Na ndio maana mwanaume ukizaa na mchepuko si vizuri kumleta home kwako huyo mtoto kwa mkeo.
 
Sheria ya watoto ilishafutaga huo usemi wa mtoto wa nje. Sheria ya watoto kifungu cha 4 kinaelezea kuhusiana na ubaguzi Kwamba ni marufuku kwa mtu yoyote kumbagua mtoto kwa kigezo chochote iwe hata hiyo dini uliyotolea mfano wala Mungu hajaandika bible ila binadamu ndiyo waliandika bible kulingana na nyakati walizoishi ila sasa hivi ni karne ya 21 mambo hayo hayapo. Ingekuwa kuna mtoto wa nje hata wale watoto wa 5 wa mrema Lyatonga wasingerithi mali za baba yao. Kwa hiyo sheria ya watoto ipo juu ya bible kwa taarifa yako.
 
Haya masuala wanawake tujifunze kwa kweli. Nilikuwa hutoa ushuhuda humu kuna baba alienda kutafuta maisha mkoa mwingine kufika kule kaanzisha mahusiano na mtu akazaa naye . Huyo mwanamke alikuwa anajua fika huyu baba ana mtoto na mbaya zaidi mwanaume alikuwa akitafuta mali anapeleka kwenye familia yake. Yeye anaishia kupewa hela za matumizi na starehe basi. Yule bwana kaanza kuumwa karudi kwenye familia yake basi akafariki.

Baada ya kufariki wakazika yameisha. Kilichotokea ndugu wakamtafuta yule mwanamke aliyezaa na ndugu yao wakamshauri aende mahakamani kudai mirathi,,.yaan unaenda kufungua mirathi kabisa eti unamshitaki mwanamke mwenzake uliyemuibia mume ukazaa na mume wake. Kweliii
 
Sheria ya watoto ilishafutaga huo usemi wa mtoto wa nje. Sheria ya watoto kifungu cha 4 kinaelezea kuhusiana na ubaguzi Kwamba ni marufuku kwa mtu yoyote kumbagua mtoto kwa kigezo chochote iwe hata hiyo dini uliyotolea mfano wala Mungu hajaandika bible ila binadamu ndiyo waliandika bible kulingana na nyakati walizoishi ila sasa hivi ni karne ya 21 mambo hayo hayapo. Ingekuwa kuna mtoto wa nje hata wale watoto wa 5 wa mrema Lyatonga wasingerithi mali za baba yao. Kwa hiyo sheria ya watoto ipo juu ya bible kwa taarifa yako.
Mkuu kwani wewe unavyoenda kuzini MUNGU alikuzuia?????
 
Baada ya kufariki wakazika yameisha. Kilichotokea ndugu wakamtafuta yule mwanamke aliyezaa na ndugu yao wakamshauri aende mahakamani kudai mirathi,,.yaan unaenda kufungua mirathi kabisa eti unamshitaki mwanamke mwenzake uliyemuibia mume ukazaa na mume wake. Kweliii
Sina uhakika kama alifanikiwa hio kesi maana mke anaweza kusema alimuingilia ndoa yake.
Huo ni ugoni kuna adhabu yake???

Sina uhakika kama ni kweli,
Mara nyingi watoto ndo wanaenda kufungua kesi mahakamani na sio mchepuko. Maana ukienda mahakamani utasema wewe ni nani kwa marehemu?????

Afu usema nilizaanae na mali zipo kwa mkewe? Mmmmmh mke wa marehemu anaweza kumshitaki.

Afu kingine mtoto wa chini ya miaka 18 awezi pewa mali.
Ila mali zake zinakuwa chini ya usimamizi. Mchepuko hawezi pewa awe msimamizi maana hakuwa mke wa marehemu.

Mimi nimewai ona kesi kama hio dada alizaa na jamaa 1 hivi na hakuwa mkewe na jamaa hakuwa na mke alipofariki na kuacha mtoto anamika 6. Yule dada aliambiwa uwezi pewa mali za marehemu kwa ajili ya mtoto wako. Kwa sababu marehemu hakuwa mume wako.
Kwa hio mali zinabaki kwa msimamizi wa mirathi ndo atasimamia mtoto akifikisha miaka 18 ndo aende mahakamani akadai mali za baba yake.
 
Kwa hiyo sheria ya watoto ipo juu ya bible kwa taarifa yako.
Mkuu MUNGU hayupo kwenye mahamuzi ya binadamu wanayofanya.
MUNGU Hayupo kwenye mahakama ya kuu ya Tanzania. MUNGU hausiki kwenye kutunga sheria za kibinadamu.

Mara ngapi sheria zinatungwa za kukandamiza hapa dunia???????

Na mimi nasema,
Kwa taarifa yako zipo sheria Nyingi sana hapa TZ na kwengine ambazo zipo against GOD law.
 
Hakuna mtu anayepinga watoto kutokupata mali za mzee wao.
Ila shida inakuja utakuta Baba mtoto ajawahi mtambulisha wala usia hajaacha kabisa.

Sasa ndugu wafanyaje???

Mali zenyewe utakuta Kachuma na mkewe , sasa hizo mali utampa nani za mtoto, mchepuko????
Mambaye hakuwa mkewe????
 
Mali ya marehemu igawanywe kwa wanufaika wote . Yaani mke, watoto na wazazi ikibidi.
Mali ni nyumba 1 tuu ambayo alijenga na mkewe , mkewe anamkono kwenye hio nyumba.

Gari na duka la madawa sidhani kama vina haja sana.

Sasa utafanyaje. Japo.
Wamfukuze mke afu nyumba wauza wagawe. Na mke na watoto 2 hapo waende wapi????
 
Watoto waishi na mama yao wahudumiwe wakiwa kwa mama yao ila hii tabia kwenye msiba mnapeleka watoto ili iweje sasa
Watoto wana haki ya kumzika Baba yao.
 
Wanawake,ukikubali kuzaa na mwanaume wa ndoa ya mtu,hakikisha anawatengenezea maisha watoto bila kuathiri nyumba kubwa....
 
Cha kwanza ni kujua kama marehemu aliacha wosia au la.. baada ya kujua zoez linalofata ni kumteua msimamizi wa mirathi na kuwatambua warithi... ambapo na hao watoto wawili watajumuishwa kama warithi... kabla msimamizi hajaenda mahakamani kupata barua za kumteua

Mkishindwa kuwajumuisha kama warithi wa mirathi ya baba yao wakienda mahakamani mapema tuu wanapewa chao..kesi ya Judith patrick kyamba and others vs Tunsuume mwimbe Mahakam kuu iliyokaa mbeya ilishasema kuwa watoto wa nje ndoa wana haki sawaa na watoto waliozaliwa ndani ya ndoa
Ikiwa marehemu mwenyewe hakuwahi kusema wala kuwatambulisha kwa familia,how comes familia ikubali tu watu wanaoletwa!! Sheria ikiwa loose hivyo hilo litakuwa chaka la udanganyifu,watu wataangalia kuna msiba pale mtu anavijisenti,atapelekwa mtoto na kusakiziwa kuwa ni wa marehemu.Suala la kufanana sio ishu,duniani wawili wawili.Natumaini mazingira ya kesi iliyotajwa ni tofauti na mazingira ya kesi hii.
 
Sheria za dini ndio zinatambua watoto wote..... Ikiwa ndoa imefungwa hata mke azae nje mtoto yule anatambulika maana ndoa imeshafungwa.

Kuna procedures kuwapa haki zao watoto wa nje kisheria kabisa.
Mkuu kwanini sheria ya Dini imetambua mke akizaa nje ya ndoa mtoto siyo haramu, Mwanaume akizaa nje ya ndoa mtoto anakuwa haramu?
 
Mkuu kwanini sheria ya Dini imetambua mke akizaa nje ya ndoa mtoto siyo haramu, Mwanaume akizaa nje ya ndoa mtoto anakuwa haramu?
😅😅Ni kwamba mke akiwa ndani ya ndoa atakachozaa ni halali hii ni kutokana na siri za wanawake ,kama unabisha leo watu wakienda kupima DNA wengi wanalelea watoto wasiokuwa wao.

Ila mwanaume akitoka nje ya ndoa basi inajulikana moja kwa moja kwa vile aliyebeba mimba ni mtu wa nje,
ila mke akiwa ndani ya ndoa kuna siri kubwa sana katika watoto tunaolelea.

Pia mwanaume anayo haki ya kumkataa mtoto wa nje kama atakuwa na mushkeri .
 
Wenye wake acheni kudinya nje ya ndoa kavukavu mnaacha misala siku mkifa.
 
Back
Top Bottom