Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,048
- 15,465
duh,si itakuwa pigo kubwa kwa makampuni ya kurengeneza magari,maana ni mengi sana duniani,hata youtube wamejaa wazungu/wahindi nk waliosahau funguo ndani ya gari...
ukisha chomoa funguo na kulock milango yote ukiwa ndani,fungua mlango wa dereva then lock kwa center lock,alafu wakati unafunga mlango wa dereva shikilia kitasa kwa kukivutia nje,kwa nje,alafu funga mlango,then achia kitasa,utakuwa umelock milango yote pamoja na wadereva bila kutumia funguo,mimi nimezoea hivyo,ndo maana nilisahau ufunguo ndani,na milango nikalock yote..

Uwezo kiongozi,pesa tatizo,unafikiri kuna mtu anapenda shida,kila mtu anapenda vitu vizuri,lakini pesa ndio shida kiongozi,ndo maana tunaendesha mabanda ya kuku...Tafuta gari achana na hila banda la kuku ndugu. hakikisha unamiliki gari angalau ya mwaka 2010. hata kama ni IST au Ractis lakini sio gari iliyona el nino ya mwaka 98
Sema huwa nahisi una nanii tamMimi kama mimi sijakuelewa,, anyway fuata maelekezo uliyopewa na walioelewa
Nini hiyo tamππSema huwa nahisi una nanii tam
Usiogope ndio maishaSimple sana sema njia nayotumia siyo nzuri nitakuwa nafundisha wizi wa magari au vitu ndani ya magari