Msaada haraka, kafungia funguo ndani ya gari na kalock milango

duh,si itakuwa pigo kubwa kwa makampuni ya kurengeneza magari,maana ni mengi sana duniani,hata youtube wamejaa wazungu/wahindi nk waliosahau funguo ndani ya gari...

Labda sielewi. mm gari langu huwezi lock bila kutumia funguo. yani ili ulock lazima uwe na funguo. sasa sijui ila lako unatukia kufuri au sijui nn
 
ukisha chomoa funguo na kulock milango yote ukiwa ndani,fungua mlango wa dereva then lock kwa center lock,alafu wakati unafunga mlango wa dereva shikilia kitasa kwa kukivutia nje,kwa nje,alafu funga mlango,then achia kitasa,utakuwa umelock milango yote pamoja na wadereva bila kutumia funguo,mimi nimezoea hivyo,ndo maana nilisahau ufunguo ndani,na milango nikalock yote..

Tafuta gari ndugu yangu. mm ukiacha tu funguo ndani gari hailock. inajua funguo upo ndani ukitaka kulivk inabip alarm
 
ukisha chomoa funguo na kulock milango yote ukiwa ndani,fungua mlango wa dereva then lock kwa center lock,alafu wakati unafunga mlango wa dereva shikilia kitasa kwa kukivutia nje,kwa nje,alafu funga mlango,then achia kitasa,utakuwa umelock milango yote pamoja na wadereva bila kutumia funguo,mimi nimezoea hivyo,ndo maana nilisahau ufunguo ndani,na milango nikalock yote..

Tafuta gari achana na hila banda la kuku ndugu. hakikisha unamiliki gari angalau ya mwaka 2010. hata kama ni IST au Ractis lakini sio gari iliyona el nino ya mwaka 98
 
Uwezo kiongozi,pesa tatizo,unafikiri kuna mtu anapenda shida,kila mtu anapenda vitu vizuri,lakini pesa ndio shida kiongozi,ndo maana tunaendesha mabanda ya kuku...
 
Hii ndio jamiiforums ndio tupo na bado tu Kila swali halikosi kujibiwa kikamilifu na kwa options nyingi sana 🙏🙏🙏
 
ukisha chomoa funguo na kulock milango yote ukiwa ndani,fungua mlango wa dereva then lock kwa center lock,alafu wakati unafunga mlango wa dereva shikilia kitasa kwa kukivutia nje,kwa nje,alafu funga mlango,then achia kitasa,utakuwa umelock milango yote pamoja na wadereva bila kutumia funguo,mimi nimezoea hivyo,ndo maana nilisahau ufunguo ndani,na milango nikalock yote..

Bado sijaelewa
 
Back
Top Bottom