Kwa taarifa yako mabogi ndo wanakata leo, kuna mtu kanipa update hapa sasahiv
kwasabbu vikosn wapo weng sana, na kama watachukua wa mtaan bas waliopta jkt kwa kujitolea tu.
nkweli, kwann unazan kwenye polis hata magereza kwa mujbu ni wachache sana sana?Hakuna hiko kigezo mzee baba.......kikubwa uwe Na chet cha jkt haijalishi umejitolea au ni mujibu unayo nafasi ya kuomba.....na hata tulipokua mujibu walituambia hivi vyeti vitakuja kutusaidia incase ajira za jeshi zikitoka
Kwahio wakichukua uraiani hata waliopita mujibu wanaweza kuomba
Special course zipi ambazo unazani jkt hazipo?Mtaaani wanachukua special coursee....
pia ulisema kuna koz ambazo jkt huwez kuta, hukutaja mfano wa hzo koz mzee ambazo unahs hazpo hukunkweli, kwann unazan kwenye polis hata magereza kwa mujbu ni wachache sana sana?
nkweli, kwann unazan kwenye polis hata magereza kwa mujbu ni wachache sana sana?
Alafu mwaisaa!Hakuna hiko kigezo mzee baba.......kikubwa uwe Na chet cha jkt haijalishi umejitolea au ni mujibu unayo nafasi ya kuomba.....na hata tulipokua mujibu walituambia hivi vyeti vitakuja kutusaidia incase ajira za jeshi zikitoka
Kwahio wakichukua uraiani hata waliopita mujibu wanaweza kuomba
Cha msingi tuvute Subra muda utatuambia ,,,maana sahiv mnajua vikosi vimepelekwa mpkan mtwara uko ,pengine huitaji utakuepo tutaona ,,Issue ya kua ni wachache sana au ni wengi ni issue nyengine......ninachoongelea mimi ni kwamba ukiwa na chet cha mujibu pia una nafasi ya kuomba nafasi
Hayo mambo mengine mimi siyajui...sababu wapo rafiki zangu wengi tu nimepita nao mujibu wameshaenda polisi wengine UT na wengine mkeka wa jana ZT pia wapo
Alafu mwaisaa!
Wengi walioko vikosi bado ni wanafunzi hawaja kizi vigezo
Huyo anayesema, watachukua vikosi tuu, vikosini hawazidi watu elfu nne
Ndo maana kuna mdau alisema humu kwamba ajira 3104 zina watu tayari, kwahio hizo zilizo baki ni gombania goli, kama una mbuyu ndo uupange kabisa
Mujibu tunaenda kwa nn tusiende
Af jeshi lina ajiri senior, kwa maana gani wana ajiri koz za nyuma zaidi
Kwahio vijana wa mujibu jiandaeni
Ndio watu wanakuja na mitazamo yao, hawana huakika wanasema tuu!Unajua tatizo kuna wajuba humu ndani wanapenda ligiii yaan hawataki kueleweshanaa ndio tatizo
Yaaani wapo kiligi ligii tuu aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
PT hii auMapeema leo...Vibogi ndo hivoapo sasa na wengine bado wanahakikiwa makambini kama unaendelea tangazo la jw its okView attachment 2020499
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Kama unaendelea? Mm cjaelewaMapeema leo...Vibogi ndo hivoapo sasa na wengine bado wanahakikiwa makambini kama unaendelea tangazo la jw its okView attachment 2020499
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Amemaanisha kama unaendelea kusubiri tangazoKama unaendelea? Mm cjaelewa
Ndo washachukua hivyokwasabbu vikosn wapo weng sana, na kama watachukua wa mtaan bas waliopta jkt kwa kujitolea tu.
Sikia kaka uraiani ni lazima na si hiari kuchukua kwa sababu nyingi sana na km ukitaka kuzijua njoo PM nikuorodheshee sababu zote usikae kikakireeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Dah bro hyo pc unajua ni ya lini au Unataka kuwarusha roho wadau?Mapeema leo...Vibogi ndo hivoapo sasa na wengine bado wanahakikiwa makambini kama unaendelea tangazo la jw its okView attachment 2020499
Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
Wa mujibu wanapewa kipaumbele cha military science wapo wanaripoti bado makutupora waende oljoro mwezi ujaoUnajua tatizo kuna wajuba humu ndani wanapenda ligiii yaan hawataki kueleweshanaa ndio tatizo
Yaaani wapo kiligi ligii tuu aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]