Msaada interview za Jeshi la Magereza

Msaada interview za Jeshi la Magereza

Kwa taarifa yako mabogi ndo wanakata leo, kuna mtu kanipa update hapa sasahiv

Hatujakataa kama wanakata leo au vipi...!!

Hoja yetu ni kwamba uraiani pia watachukua siku sio nyingiii kwa taaluma watakazozitaka wao
 
kwasabbu vikosn wapo weng sana, na kama watachukua wa mtaan bas waliopta jkt kwa kujitolea tu.

Hakuna hiko kigezo mzee baba.......kikubwa uwe Na chet cha jkt haijalishi umejitolea au ni mujibu unayo nafasi ya kuomba.....na hata tulipokua mujibu walituambia hivi vyeti vitakuja kutusaidia incase ajira za jeshi zikitoka

Kwahio wakichukua uraiani hata waliopita mujibu wanaweza kuomba
 
nkweli, kwann unazan kwenye polis hata magereza kwa mujbu ni wachache sana sana?
 
Issue ya kua ni wachache sana au ni wengi ni issue nyengine......ninachoongelea mimi ni kwamba ukiwa na chet cha mujibu pia una nafasi ya kuomba nafasi

Hayo mambo mengine mimi siyajui...sababu wapo rafiki zangu wengi tu nimepita nao mujibu wameshaenda polisi wengine UT na wengine mkeka wa jana ZT pia wapo
 
Mapeema leo...Vibogi ndo hivoapo sasa na wengine bado wanahakikiwa makambini kama unaendelea tangazo la jw its ok
20211123_085853.jpg

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
Hakuna hiko kigezo mzee baba.......kikubwa uwe Na chet cha jkt haijalishi umejitolea au ni mujibu unayo nafasi ya kuomba.....na hata tulipokua mujibu walituambia hivi vyeti vitakuja kutusaidia incase ajira za jeshi zikitoka

Kwahio wakichukua uraiani hata waliopita mujibu wanaweza kuomba
Alafu mwaisaa!

Wengi walioko vikosi bado ni wanafunzi hawaja kizi vigezo

Huyo anayesema, watachukua vikosi tuu, vikosini hawazidi watu elfu nne

Ndo maana kuna mdau alisema humu kwamba ajira 3104 zina watu tayari, kwahio hizo zilizo baki ni gombania goli, kama una mbuyu ndo uupange kabisa

Mujibu tunaenda kwa nn tusiende

Af jeshi lina ajiri senior, kwa maana gani wana ajiri koz za nyuma zaidi

Kwahio vijana wa mujibu jiandaeni
 
Issue ya kua ni wachache sana au ni wengi ni issue nyengine......ninachoongelea mimi ni kwamba ukiwa na chet cha mujibu pia una nafasi ya kuomba nafasi

Hayo mambo mengine mimi siyajui...sababu wapo rafiki zangu wengi tu nimepita nao mujibu wameshaenda polisi wengine UT na wengine mkeka wa jana ZT pia wapo
Cha msingi tuvute Subra muda utatuambia ,,,maana sahiv mnajua vikosi vimepelekwa mpkan mtwara uko ,pengine huitaji utakuepo tutaona ,,
 
Alafu mwaisaa!

Wengi walioko vikosi bado ni wanafunzi hawaja kizi vigezo

Huyo anayesema, watachukua vikosi tuu, vikosini hawazidi watu elfu nne

Ndo maana kuna mdau alisema humu kwamba ajira 3104 zina watu tayari, kwahio hizo zilizo baki ni gombania goli, kama una mbuyu ndo uupange kabisa

Mujibu tunaenda kwa nn tusiende

Af jeshi lina ajiri senior, kwa maana gani wana ajiri koz za nyuma zaidi

Kwahio vijana wa mujibu jiandaeni

Unajua tatizo kuna wajuba humu ndani wanapenda ligiii yaan hawataki kueleweshanaa ndio tatizo

Yaaani wapo kiligi ligii tuu aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio watu wanakuja na mitazamo yao, hawana huakika wanasema tuu!

Muhimu mungu tuu, uzur wa hilijeshi wanajali sana, wanataman kila mtu apate nafasi!

Achana na baba kantuma ambazo tulikutana nazo polisi, tulipigwa elfu tano tano.
 
Unajua tatizo kuna wajuba humu ndani wanapenda ligiii yaan hawataki kueleweshanaa ndio tatizo

Yaaani wapo kiligi ligii tuu aisee [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wa mujibu wanapewa kipaumbele cha military science wapo wanaripoti bado makutupora waende oljoro mwezi ujao

Back
Top Bottom