Msaada interview za Jeshi la Magereza

Kwanini Wana nyima watu kwenda na simu huko mafunzoni
Simu yanini???kama una Shida si kuna wakufunzi wako utawaeleza???

Wakati mwingine uraia wetu unachagizwa tusiruhusiwe Kwenda simu

Kupiga picha kuelezea mwenendo wa kozi kulialia Kwa baba nyumbani chakula cha kozi kibaya mazoezi magumu nk

Muda ukifika utatumia simu uraia ukishaondolewa
 
Kila kaz na changamoto, chamsingi malengo, mtu anaenda upolisi na plan A, ukiwa na plan B huwez kuona changamoto, kwan utafanya kaz kuanza plan B.
 
Kazi kweli kweli mwendo wa minyoosho tu
 
Nadhani ni vitu vya kawaida na kwa kuwa ni kwa muda flani basi watakaobahatika wakavumilie warudi wamekula viapo vyao
Kwa kweli and I do believe hamna kinachoshindikana na wataweza vizuri kwani wengine wanaoweza huwa Wana nini na wao washindwe na nini.
 

Tupe evidence tuone maana hata mimi nimesikiliza sijasikia akizungumza hayo maneno
 
Nimemuona jamaa yang mmoja boniphace Marwa kwenye Uzi๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ...saafiiii๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพmzee
 
Mungu mwema hongereni wote wa zimamoto๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ..na magereza Imani INAHITAJIKA soon naamin mzgo utakuw released
 
Na magereza watatoa soon nadhani hadi kufikia jumapili watakua tearii wametoa
 
Na magereza watatoa soon nadhani hadi kufikia jumapili watakua tearii wametoa
Usahili wa zimamoto na magereza walipishana siku ngapi?!! ndo yaweza ikawa ratio hiyo hiyo ya kupishana kw mkeka pia....ni mawazo yangu nafkr hvyo
 
Usahili wa zimamoto na magereza walipishana siku ngapi?!! ndo yaweza ikawa ratio hiyo hiyo ya kupishana kw mkeka pia....ni mawazo yangu nafkr hvyo



Zimamoto waliita usaili TAREHE 24-27 NOVEMBER

Magereza waliita usaili TAREHE 2-6. DECEMBER

nadhani hapo tofauti ni 1 week kama sijakosea
 
Ila nadhani hawatochukua muda mrefu maana siku ile ilikua watu wanaingia kwenye oral huku mitihani ya written inasahihishwa ko naamin soon nao watatoa tuu mkeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ