Msaada jamani, kuna mdada nimempenda humu JF lakini nashindwa kumwambia

Zaman jf palikuw panaogopwa, lakin sikuhizi ndio sehem ya wajinga kukimbilia, kwa nin kusiwe na vigezo vya kujiunga humu?

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Kama umeweza kutwambia wana jf kilichoko moyoni mwako ,kwann ushindwe kumweleza huyo Dada ,piga moyo konde uchawi hauji kwa mentali ,funguka tu mweleze hisia zako,wewe utakavyo chelewa wengine ndo wanajiandaa .
 
Yap, wajing kam mim sabab sikuw na haj ya kujib post mbovu kam hii
Sidhani kama ni vizuri kukosea mawazo ya mwenzako ,kikubwa ametoa jambo lake kama waweza mpa ushauri mpe ,lakini Kama hapana potezea ,siyo kumkashimu mwenzio,je na wewe kesho ukihitji ushauri alafu ukajibiwa hivyo ,ulaumu???remember this is jamii forum
 
Ohh pole nae ana wake alishawahiwa kitambooooo na hana tbia ya kuchanganya [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…