kuna jambazi kuu hajatajwa hapa....nasubiri jina lake litajwe
Hivi unanisaidia kutafuta kikuku changu au unapiga tu chapuo hapa ?
Utakuwa umenifananisha mtu wangu. Hiyo siku wala sikuwepo Dar.Asprin ulikuwepo na nilikuona unafakamia nini vile, naniliu, ile Kotensa
Wananipakazia ndugu yangu. Umri huu niache kucheza na wajukuu nije kukaa na vijana jamani jamani jamani??Hahahahahahahahahahaha
babu Asprin hivi kwanini:........................................
Tatizo Jesca uliponzwa na kwaito..Inawezekana ni wale madj waliokota hicho kikuku...Lawama zimuendee Vin Diesel ndo alikuwa anakung'ang'ania mcheze wote
Naamini Zion Daughter anaweza kumjua mtuhumiwa, hebu mwiteni aje pande hizi basi
Tatizo Jesca uliponzwa na kwaito..Inawezekana ni wale madj waliokota hicho kikuku...Lawama zimuendee Vin Diesel ndo alikuwa anakung'ang'ania mcheze wote
Afu we nawe? aliyepoteza kikuku ni Jeska, sasa huyu Jesca wa watu unamwamshia nini mida hii?Tatizo Jesca uliponzwa na kwaito..Inawezekana ni wale madj waliokota hicho kikuku...Lawama zimuendee Vin Diesel ndo alikuwa anakung'ang'ania mcheze wote
nadhani wanifananisha na Jiwe Linaloishi....mie muda wote nimecheza na marejesho....
Shhhiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii......... Jeska usijibu hili swali tafazali
Utakuwa umenifananisha mtu wangu. Hiyo siku wala sikuwepo Dar.
Wananipakazia ndugu yangu. Umri huu niache kucheza na wajukuu nije kukaa na vijana jamani jamani jamani??
Yes noahism....salama yakhe?
Hapana asee.... haka kaumri naniliyu haikubali kunaliliyu mpaka naniliyu itumike kwenye naniliyuHahahahahahahahahah
alaf babu hivi ulinaniliuuu......................
Taratibu kijana, utaniharibia move kwa Paloma ujue.jawabu la swali letu li hapa.....
nadhani wanifananisha na Jiwe Linaloishi....mie muda wote nimecheza na marejesho....
Dah, watu wana miguu!!