Mtoto anataka tu kucheza na Vin Diesel mume wangu .......
Mtoto anataka tu kucheza na Vin Diesel mume wangu .......
...hiki kikuu na kibata..jamani nani kachukuaaaa?heheheheeeee........am jeeez watching you:eek2: Jeska Vin Diesel Asprin charminglady figganigga Ruttashobolwa Mamndenyi Jiwe Linaloishi Thanda chacha Ombura kipaji halisi marejesho Zion Daughter amu mwaJ et alwill be back when you are all done........ najua kikuku na kibata chake vipo kwa nani......tihititihiiii!!!
We acha tu watu8, roho iliniuma sana, lakini ndiyo hivyo siruhusiwi kutoka bila ruksa yake, sijui huu mfumo utaisha lini nasi tuwe tunatoa order kwa wanaume.Loh!!!
Bado..... Huyu amekuwa limao kuondoa kichefuchefu!?
embu kwenda zako huko!!! Unamtishia mke wangu wakati unajua ni mjamzito!? Au unataka tupate mtoto pre-mature!?
sikia Voice of Wisdom. Maisha ni zaid ya tunavyoish. Itabd leo tukutane ili tumalize hlo sakata.. Rutta hana tatizo
Umeanza udaku wako...
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
heheheheeeee........am jeeez watching you:eek2:
Jeska Vin Diesel Asprin charminglady figganigga Ruttashobolwa Mamndenyi Jiwe Linaloishi Thanda chacha Ombura kipaji halisi marejesho Zion Daughter amu mwaJ et al
will be back when you are all done........ najua kikuku na kibata chake vipo kwa nani......tihititihiiii!!!
yaani mtei unataka kunibadilisha msimamo wangu aisee! Haki ya nani mi sikubali kabisa kirahisi hvyo kama dada poa. Jeska tafadhali leta picha inayoonyesha tukio zima, kabla bibie marejesho hajakamilisha taratibu za kukimbia tanzania.
Bado..... Huyu amekuwa limao kuondoa kichefuchefu!?
hivi yule nanii anayeandika udaku wa chitchat hakuwepo kwenye event akamwaga hapa udaku uliojiri?
hapana sio hivyo. Mambo mengine ni madogo sana kinadharia. Suala langu na Mrembo marejesho ni suala ambalo limeanzia mbali sana, limetumia gharama nyng sana. Mpango wa yeye kuhamia Kigali unakamilika.. Rutta ameshanyamaza.
udaku mkubwa ulitokea baada ya kuondoka kwenye shughuli....
..aisee bora kombolela...mcje kucheza TOBO ,BAO tu. Vin Diesel marejeshoTena mchezo wenyewe kombolela...lol.
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
mwagika Diesel, ila angalia isijeisha gari ikasindwa kwenda nyumbani