Msaada: Kati ya kozi hizi, nikasome kozi gani?

Msaada: Kati ya kozi hizi, nikasome kozi gani?

Burapaa

Member
Joined
Feb 24, 2023
Posts
31
Reaction score
26
Waungwana naombeni ushauri mimi ni muhitimu wa diploma ya Business administration . Nlishindwa kuendelea pindi tu nlivyomaliza kwasababu ya changamoto za matokeo (Nacte) nina mpango wa kufanya application ya kusoma Bachelor degree katika vyuo vifuatavyo:

1. Bachelor degree in Banking and finance -IFM

2. Bachelor degree in Accounting-TIA

3. Bachelor of logistics and transport management-NIT

4. Bachelor degree in Business administration -CBE

Naomba ushauri kwa ambaye anaujuzi kuhusu soko la ajira ni kozi gani nikasome ina thamani kuliko zote kati ya hizo ambayo itaniwia rahisi kujiajiri lakini pia kuajiriwa kama itatokea.

Kama kuna mawazo tofauti na haya juu ya kozi ya kusoma mnakaribishwa sanaa.
 
Hapo zote hamna degree ya maana zote nikutembea na mabahasha kuajiliwa kama bank teller au debt collector wa microfinance na saccos, kuiiajiri mtaji mkubwa sanaa.
Unapendekeza kozi gani mkuu
 
Back
Top Bottom