Usiseme boda boda maana huna uhakika kama ni boda boda.Nilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu.
Inaonekana alishaona kuwa pale karibu hamna bodaboda mwingine amesimama muda ule ndio maana hata nikashindwa kumkimbiza, watu waliokuwa arround waliona ila hawakuwa na msaada zaidi ya kupiga kelele za mwizi ila ndio hivyo alikuwa speed.
Simu ni mpya, mwenye Idea nini cha kufanya tafadhali
Bora anunue mpya kuepusha upotevu wa pesa na muda.Wasiliana na Polisi ukiwa na IMEI number ya simu yako.. Atakamatwa tu..
Pole sana kwa hayo matatizo yaliyokukuta Tafuta nyuki awe mzima mtie katika kijichupa kisha funika nitafute mimi kwa wakati wako uje nae huyo nyuki nipate kumshughulikia ili aweze kuirudisha simu yako. Nyuki atakwenda kumtafuna na wenzake wengi watajenga mzinga kichwani mwake mpaka arudishe simu yako.Nilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu.
Inaonekana alishaona kuwa pale karibu hamna bodaboda mwingine amesimama muda ule ndio maana hata nikashindwa kumkimbiza, watu waliokuwa arround waliona ila hawakuwa na msaada zaidi ya kupiga kelele za mwizi ila ndio hivyo alikuwa speed.
Simu ni mpya, mwenye Idea nini cha kufanya tafadhali
Asipoteze mudaWasiliana na Polisi ukiwa na IMEI number ya simu yako.. Atakamatwa tu..
Hii simu ya kuandika hapa umepata wapi?Nilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu.
Inaonekana alishaona kuwa pale karibu hamna bodaboda mwingine amesimama muda ule ndio maana hata nikashindwa kumkimbiza, watu waliokuwa arround waliona ila hawakuwa na msaada zaidi ya kupiga kelele za mwizi ila ndio hivyo alikuwa speed.
Simu ni mpya, mwenye Idea nini cha kufanya tafadhali
Aisee!Pole sana kwa hayo matatizo yaliyokukuta Tafuta nyuki awe mzima mtie katika kijichupa kisha funika nitafute mimi kwa wakati wako uje nae huyo nyuki nipate kumshughulikia ili aweze kuirudisha simu yako.
Malipo ni baada ya kazi..Pole sana kwa hayo matatizo yaliyokukuta Tafuta nyuki awe mzima mtie katika kijichupa kisha funika nitafute mimi kwa wakati wako uje nae huyo nyuki nipate kumshughulikia ili aweze kuirudisha simu yako.
Daah! Mkuu 🤣Pole sana kwa hayo matatizo yaliyokukuta Tafuta nyuki awe mzima mtie katika kijichupa kisha funika nitafute mimi kwa wakati wako uje nae huyo nyuki nipate kumshughulikia ili aweze kuirudisha simu yako.
Akili zako ndogo sana, kuingia Jamii Forum lazima simu? Au hujui kwamba kuna computer, umeshindwa kusoma hapo kwamba nilikuwa naenda kaziniHii simu ya kuandika hapa umepata wapi?
Polisi Hawa hawa wa Wambura au unamaanisha interpol? Kama ni hawa wa kwetu namshauri asisogeze pua yake maana gharama atakayotumia kufuatilia ni kubwa kuliko bei ya hiyo simu alafu akumbuke polisi sasa hivi wanawasaka wale wanajeshi wa Yombo Dovya mara wanamuunganishia juu kwa juuWasiliana na Polisi ukiwa na IMEI number ya simu yako.. Atakamatwa tu..
NdioIMEI uliziandika ukatunza?
Nunua simu mpyaNilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu.