Msaada: Kibaka/bodaboda ameniibia simu yangu asubuhi hii

Islam005

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,354
Reaction score
3,623
Nilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu.

Inaonekana alishaona kuwa pale karibu hamna bodaboda mwingine amesimama muda ule ndio maana hata nikashindwa kumkimbiza, watu waliokuwa arround waliona ila hawakuwa na msaada zaidi ya kupiga kelele za mwizi ila ndio hivyo alikuwa speed.

Simu ni mpya, mwenye Idea nini cha kufanya tafadhali
 
Usiseme boda boda maana huna uhakika kama ni boda boda.
Sio kila mwendesha pikipiki ni boda boda.
Hao ni wezi wanaotumia pikipiki aka vishandu
Pole sana, katoe taarifa polisi kwa ajili ya usalama wako incase ikatumika vibaya maana ina taarifa zako .
Tafuta hata 30k chukua simu ndogo urudi hewani.
 
Nilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu.

Inaonekana alishaona kuwa pale karibu hamna bodaboda mwingine amesimama muda ule ndio maana hata nikashindwa kumkimbiza, watu waliokuwa arround waliona ila hawakuwa na msaada zaidi ya kupiga kelele za mwizi ila ndio hivyo alikuwa speed.

Simu ni mpya, mwenye Idea nini cha kufanya tafadhali
Pole sana kwa hayo matatizo yaliyokukuta Tafuta nyuki awe mzima mtie katika kijichupa kisha funika nitafute mimi kwa wakati wako uje nae huyo nyuki nipate kumshughulikia ili aweze kuirudisha simu yako. Nyuki atakwenda kumtafuna na wenzake wengi watajenga mzinga kichwani mwake mpaka arudishe simu yako.
 
Nilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu.

Inaonekana alishaona kuwa pale karibu hamna bodaboda mwingine amesimama muda ule ndio maana hata nikashindwa kumkimbiza, watu waliokuwa arround waliona ila hawakuwa na msaada zaidi ya kupiga kelele za mwizi ila ndio hivyo alikuwa speed.

Simu ni mpya, mwenye Idea nini cha kufanya tafadhali
Hii simu ya kuandika hapa umepata wapi?
 
Wasiliana na Polisi ukiwa na IMEI number ya simu yako.. Atakamatwa tu..
Polisi Hawa hawa wa Wambura au unamaanisha interpol? Kama ni hawa wa kwetu namshauri asisogeze pua yake maana gharama atakayotumia kufuatilia ni kubwa kuliko bei ya hiyo simu alafu akumbuke polisi sasa hivi wanawasaka wale wanajeshi wa Yombo Dovya mara wanamuunganishia juu kwa juu

Namshauri apotezee tu kikubwa amepata funzo next time asichezee simu barabaran hata kama ni mchana .
 
Nilikuwa pale mnazi mmoja(Dar) nikawa narequest Bolt ili niwahi mzigoni, bodaboda akapita kama mshale akapokonya simu.

Inaonekana alishaona kuwa pale karibu hamna bodaboda mwingine amesimama muda ule ndio maana hata nikashindwa kumkimbiza, watu waliokuwa arround waliona ila hawakuwa na msaada zaidi ya kupiga kelele za mwizi ila ndio hivyo alikuwa speed.

Simu ni mpya, mwenye Idea nini cha kufanya tafadhali
Nunua simu mpya
 
Back
Top Bottom