Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Dawa ya kwanza ni kukubali kuwa huna kazi na umesoma, hiyo ni changamoto kila. Mahali na lisikufanye kujiona unagundu.Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.
Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.
Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.
Naombeni msaada.
Nimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.
Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.
Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.
Naombeni msaada.
Chanzo nilipata supplementary SoMo moja watu wakaanza kunicheka ila nashukuru nilimaza chuo japo Kwa kuchelewa.Aisee chanzo kikubwa ni nini maan umesema toka uko chuo tafuta chanzo cha hayo mashida iyo roho ya kujiua unajiendekeza tu
Shida nnNimekuwa nikipitia changamoto ya kukosa usingizi, kutaka kujiua toka mwaka 2018 nikiwa chuo baada nikaanza kunywa madawa ya usingizi zaidi ya aina 15 bila kupona, nimeenda sehemu za maombezi pia ila bado haiponi.
Mwaka 2020 nilipata mchumba ambae nae mwaka huu kaenda JKT nimejikuta ninaishi kwa mawazo sana, maana huyu mwanamke nilikuwa nampenda sana.
Kiufupi kwa sasa nimekosa direction, maana pamoja na kusoma sina kazi, sipati usingizi na kuna roho ya kutaka kujiua inanisumbua kila siku.
Naombeni msaada.
Hyo hali ilinianza kubla ya kuishi na huyu binti baada ya kupata supplementary 2018Shida nn
Kukosa kazi,mwanamke kuondoka?
Sijaelewa
Kujiunga na group lako la whtsap bei ganiPole mkuu nahitaji kukuandikia mengi on how you can overcome that challenge.
Check on me +255658124288 via WhatsApp then I will share with you A lot about negative emotions.
Naomba na MTU mwingine ambaye yupo na msongo Wa mawazo anicheki
Kwaiyo unatakajeNimetibiwa Muhimbili miaka yote hyo amna kitu