Msaada: Kila nikitongoza mwanamke naishiwa kutukanwa

Usijilaumu sana. Hela zilikuwa zako na ulikuwa na mamlaka nazo, usiumie. Ulizitafuta mwenyewe na ulikuwa na uhuru wa kumpa umtakaye na kutumia utakavyo. Its a free country with the right to choose for every citizen
 
Usiwaze, hela ni zako na unatafuta mwenyewe. More enough una mamlaka nazo, kutumia utakavyo na kumpa yeyote. Its your choice, so usijilaumu. You are free to spend your money anyhow!
 
Wastage of time
 
Brother unaanzishaje mazungumzo ukikutana na pisi kali(how do you initiate conversations)? unaongeaje na pisi kali avutiwe na sauti yako(tones of your voice)? unaongea nini kinachomvutia kukusikiliza(Whats your contents)? kuna siri fulani imeandikwa kwenye biblia.. hebu rejea mbinu alizotumia nyoka kwenye bustani ya Eden halafu zifanyie mazoezi nina kukahikishia hakuna mwanamke duniani atakayekukataa... Mwanamke ananaswa kwa Maneno tu (Words Contents) halafu ndio mbolea zingine zinafuata kama pesa, kumtoa dinner, sijui nini n.k nakuhakikishia kama hauna maneno (contents) brother hata huko dinner ukimpeleka utavurugwa vibaya sana au utampeleka tu dinner lakini papuchi inaenda kuliwa na wengine tu utajutraaaaa.. 😂😂
 
Wastage of time, weka dau malizana naye, kila mtu achukur time yake. Hayo uliyoandika ni kwa mke wa KUOA tu!

Note the last words...
 
Wanawake ukiwatongoza usiwe serious sana ukiwa serious sana unawakosa ila ukiwatongoza kimasikhara ndo unawala, yaani ukimfata weka ile yaani hata akichomoa potelea mbali, hata huumii lakini ukipania lazima umpate ndo unawakosa. Siku hizi hakuna kutongoza chukua namba panga appointment ila mfukoni uwe na pesa sasa outing Kama anapiga ulabu weka bajeti ya bia zake nne , outing nyingine mwite getoo
 
Mkuu ushauri wangu tambua kwanza unae mtongoza ni msichana au ni mwanamke mwenye akili zake ... Hapo utakua umepata majibu ya nani utongoze nani uache...
 
Wastage of time
 

Achana na kutongoza kwa kulazimisha na kuwa king’ang’anizi
Acha kujisifiasifia yaani punguza mbwembwe

Acha kupest sms goggle za namna ya kutongoza mwanamke
Tumia sms kutongoza usipige simu ndio utongoze

Usilazimishe acha usiulize ulize ukishamwambia unampenda mpe mda atakujibu mwenyewe

Mimi kama mimi ukiniganda na kunilazimisha sahau kukubaliwa
 
Wee bwana pisi kali outing yake tuu laki hizo bra na kyupi utashaka 40k imeenda. Mara siju hujapigwa kibomu cha birthday cake
Wewe unapata maslay queens ndio maana unasema hivyo sio kila pisi Kali ni slay queen jua Hilo kwanza wapo wanawake ni wakali ile mbaya ila hana gharama me binafsi niliwahi kumpata demu ni mkali ngozi ya mtume, figa matata na wala hakuwa akiniomba hela ovyo ovyo sema shida ilikuwa yeye ni muislamu mimi mkristo Bankroll ebu tumpe knowledge ndugu yetu huyu mzabzab
 
Kwani upo peke yako? Mimeseji nakutumia kama hutaki natafuta mwingine.
 
Aisee so mzeeya unakojolea pazuri
 
Aisee so mzeeya unakojolea pazuri
Katika mademu zangu wote huyu siwezi kumsahau kwanza show alikuwa anajua sana ukipiga nae game Unaweza ukakaa wiki nzima usipige Tena, alikuwa hana tabia ya uswahili ukimwita ghetto anakuja bila shida bila kukuomba nauli au pesa yoyote, alikuwa anipangii kupiga mbususu labda itokee yupo kwenye period, mtoto akitabasamu hata kama ulikuwa na huzuni unajikuta unafuraha, ukiliangalia usoni hata kama ulikuwa na stress zako unajikuta zinaondoka kwa muda.Sema changamoto Moja tu alikuwa nayo ni wivu tu kwingine kote alikuwa yupo vizuri
 
Nipe mie basi...nipo tayari kubadili dini ili nikojokee pazuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…