wataalam nyuzi za hivi huwaonekani sana.ngoja waje wataalamu
jukwaa la elimu limekosa wachangiaji ,watu wapo jukwaa la mahusiano na mapenziwataalam nyuzi za hivi huwaonekani sana.
Ngoja tusubiri.jukwaa la elimu limekosa wachangiaji ,watu wapo jukwaa la mahusiano na mapenzi
kazi kweli kweli/jobtruetrue
Ila wataalamu utuulize habari za kula tunda kimasihara,...😂wataalam nyuzi za hivi huwaonekani sana.
mkuu acha tu,humu ndani wasomi wengi sana,lakini kwenye mambo ya kisomi ni nduki.Ila wataalamu utuulize habari za kula tunda kimasihara,...😂
ni kawaida,...ningekupa ushauri lakini bahati mbaya sina uelewa kwenye hilo,....mkuu acha tu,humu ndani wasomi wengi sana,lakini kwenye mambo ya kisomi ni nduki.
Mshahara sio tatizo kaka,kikubwa nacholenga ni ujuzi,Unashauri nisome nini?Hiyo Nutrition umeshafatilia scale zao lakini? Ziko chini sanaa. Angalia uendelee kwenye muundo wako huo huo wa udaktari.
Na vyuo vya nje kwa kozi unayotaka wewe ada ni kubwa sana.
kozi nyingi za udaktari ni lazima ukae darasani usomeHiyo Nutrition umeshafatilia scale zao lakini? Ziko chini sanaa. Angalia uendelee kwenye muundo wako huo huo wa udaktari.
Na vyuo vya nje kwa kozi unayotaka wewe ada ni kubwa sana.