Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,849
- 3,506
Huyo mtoto atakuwa na shida ya kiafya mpelekekwa Dr Sameer (Dr wa watoto) ampe tiba mkuuHabari.
Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable.
Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda mwingine ananyonya.
Hali hii inatokea pia na mchana.
Msaada kudhibiti hii hali kama umeshawahi kuipitia na mwanao.
Achukue dawa gani mkuuGesi inamsumbua
Kiimani mmekaaje?Habari.
Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable.
Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda mwingine ananyonya.
Hali hii inatokea pia na mchana.
Msaada kudhibiti hii hali kama umeshawahi kuipitia na mwanao.
100%Jitahid kumbeba began yaan mkumbatie kichwa chake kilale juu ya kufua ili apumue kutoa ges,na ukimlaza kitandan mlaze kwa tumbo,gesi inamsumbua ndo maana anashindwa kulala na kunyonya vizur,kila akimaliza kunyonya acheulishwe ndo alale
Habari.
Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable.
Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda mwingine ananyonya.
Hali hii inatokea pia na mchana.
Msaada kudhibiti hii hali kama umeshawahi kuipitia na mwanao.
2Kama hana homa yeyote ile inayopelekea kuwa hivyo, basi usiumize kichwa ni hatua za kawaida za ukuaji wa mtoto.
Nb:
Kama sikosei ni mtoto wako wa Kwanza au sio!!.
Pia nakubaliana na hiliJitahid kumbeba began yaan mkumbatie kichwa chake kilale juu ya kufua ili apumue kutoa ges,na ukimlaza kitandan mlaze kwa tumbo,gesi inamsumbua ndo maana anashindwa kulala na kunyonya vizur,kila akimaliza kunyonya acheulishwe ndo alale
Nimeshaualiwa nimpatie infacol na mafuta ya samaki (scotts), ni sahihi?Jitahid kumbeba began yaan mkumbatie kichwa chake kilale juu ya kufua ili apumue kutoa ges,na ukimlaza kitandan mlaze kwa tumbo,gesi inamsumbua ndo maana anashindwa kulala na kunyonya vizur,kila akimaliza kunyonya acheulishwe ndo alale
Ni sawa but still kumcheulisha ni muhimu sana sana,yaan akimaliza kunyonya tu anamuweka began anacheua,Nimeshaualiwa nimpatie infacol na mafuta ya samaki (scotts), ni sahihi?
Mtoto wa ngapi huyo mkuuHabari.
Nina mtoto wa miezi miwili. Kuna changamoto aliyonayo ya kutolala karibia usiku mzima yaani analala kimagepu huku akiwa hayuko comfortable.
Na akiwa macho hatulii na mama yake pia akimuweka kitandani hataki kukaa peke yake anaanza kulia. Akimpatia pia nyonyo muda mwingine anakataa muda mwingine ananyonya.
Hali hii inatokea pia na mchana.
Msaada kudhibiti hii hali kama umeshawahi kuipitia na mwanao.
Fuatilia vizuri comment number 8.....Pia Kuna dawa inaitwa Grip waterAchukue dawa gani mkuu