Vito Corleone
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 2,418
- 5,257
Tumbo lake bado sio imara,so maziwa yanasababisha gesi,ndio maana akimaliza kunyonya analazwa begani Ili acheue,au kama Hana utulivu unamlaza tumbo lake kwenye paja lako unakuwa unamsugua sugua tumboni....njia rahisi ya kujua mtoto ana gesi piga tumbo lake na kidole huu upande wenye kucha taratibu utasikia mlio kama ngoma, hapo ujue tumbo limekaza Kwa ajili ya gesiMtoto anatoa wapi gesi?
Kwani anasumbuliwa na tumbo? Mkuu mtoto anajiadjust kwenda na masaa ya duniani.alivokuwa tumboni alikuwa analala mchana usiku anakesha.muache atabadilika.inachosha balaa ila akifika miezi 3 au 4 anaacha mtalala tu vizuri.mimi nilikonda vibaya mno kwenye uzazi yaani nakuelewaNimeshaualiwa nimpatie infacol na mafuta ya samaki (scotts), ni sahihi?
Jamani kitoto changu kinajamba j . Namfanyisha mazorzi ya kutoa gesi lakini kanajamba hatari.ila tumbo halimsokoti sijui kana mtungi wa gesi tumboni?Tumbo lake bado sio imara,so maziwa yanasababisha gesi,ndio maana akimaliza kunyonya analazwa begani Ili acheue,au kama Hana utulivu unamlaza tumbo lake kwenye paja lako unakuwa unamsugua sugua tumboni....njia rahisi ya kujua mtoto ana gesi piga tumbo lake na kidole huu upande wenye kucha taratibu utasikia mlio kama ngoma, hapo ujue tumbo limekaza Kwa ajili ya gesi
Ahaaa Acha hizo mkuuKiimani mmekaaje?
Mnasali kabla ya kulala na baada ya kuamka?
Je unaishi kwenye nyumba yako au umepanga?
Mwenendo wa majirani upoje?
Acha kabisa mtoto anabadilisha kabisa maisha ya mtu.kipindi Niko mjamzito I used to say nikijifunguq nitalalaa maana kwenye ujauzito nilikuwa siwezi kulala nilivojifungua sasa wee mchakamchaka hata sijui kama unaweza kulala kizembe umuachie mtu mwanao.hadi nilishakuwa sugu .malezi Acha kabisa.hapa yenyewe sijui tutalala saa ngapi.babake anajamba jamba tu hukoHivi mnadhani kulea rahisi eeh?😀😀
Kwenye kukuza mtoto mambo ni mengi sanaa....
Sema kizazi cha sasa wanadhani kukuza mtoto ni jambo rahisiiii...
Kwenye malezi kuna kukesha, mtoto kuumwa, anaweza akazidiwa akalazwa, akazidiwa mpaka akawa unconscious, au afe kabisa.
Msicheze na malezi..
Hiyo ni simple tu...KANASHIBA VIZURI 😁Jamani kitoto changu kinajamba j . Namfanyisha mazorzi ya kutoa gesi lakini kanajamba hatari.ila tumbo halimsokoti sijui kana mtungi wa gesi tumboni?
Na hapo ujue kila mtoto anakuja na style yake, huwezi sema kwa sababu huyu hajanisumbua basi anayefuata atasumbua na viceversa....Acha kabisa mtoto anabadilisha kabisa maisha ya mtu.kipindi Niko mjamzito I used to say nikijifunguq nitalalaa maana kwenye ujauzito nilikuwa siwezi kulala nilivojifungua sasa wee mchakamchaka hata sijui kama unaweza kulala kizembe umuachie mtu mwanao.hadi nilishakuwa sugu .malezi Acha kabisa.hapa yenyewe sijui tutalala saa ngapi.babake anajamba jamba tu huko
Grape water ilishakatazwaFuatilia vizuri comment number 8.....Pia Kuna dawa inaitwa Grip water
Najua,lakini mbona bado inauzwa?Grape water ilishakatazwa
Daah kimerithi tabia yako ya kujamba jamba hovyo.😀Jamani kitoto changu kinajamba j . Namfanyisha mazorzi ya kutoa gesi lakini kanajamba hatari.ila tumbo halimsokoti sijui kana mtungi wa gesi tumboni?
Mtoto wa miezi miwili siyo vizuri kumuanzishia kula chakula, kama uwezo unaruhusu amtafutie mtoto maziwa ya kopo special kwa infants kuna S1, Aptamil.. pia mama wa mtoto anaweza kukamua maziwa yake na kuhifadhi ikifika wakati wa usiku anapasha moto na kumpa dogo.Mtoto hashibi kwa maana maziwa ya mama yake hayamtoshi. Chemsha uji mwembamba uchemke kweli yaani kwa muda mrefu. Mpe vijiko vichache anywe, kesho rudi na mrejesho.